Kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless?

By
luckyline said:
Mmmmmmh !!!: hakuna hata audio/video tuone hizi pumba, akuelewe nani??

Anyway, fight with your weather.
the way it seems that you're among of them!(I'm just kidding though).I'm trying to cope with those slay Queens!! Hali tete inapambana na mimi na haijawahi kushinda.
 
QUOTE="bullar, post: 24345713, member: 240923"]kwa mwanamke kua na tako sawa na kua na PhD[/QUOTE]
Ha haaa haaaaaaaaaa haaaaaaaaa! Kuna msanii Fulani wa muziki wa kizazi kipya kawapa kichwa! Kawatungua kawimbo ka kuwasifia! Basi wamevimba vichwa Kama vile wametunukiwa shahada ya juu!
 
Ahsante! Nimekuelewa,nilikujibu/kuuliza kwa namna ulivyoandika.Mimi muoaji bwana.
 
mungu haez kukupa vyote yan akupe uzuri na akili pia
 
QUOTE="bullar, post: 24345713, member: 240923"]kwa mwanamke kua na tako sawa na kua na PhD
Ha haaa haaaaaaaaaa haaaaaaaaa! Kuna msanii Fulani wa muziki wa kizazi kipya kawapa kichwa! Kawatungua kawimbo ka kuwasifia! Basi wamevimba vichwa Kama vile wametunukiwa shahada ya juu![/QUOTE]
Nampa papa by Biggy Money!
 
Ha haaa haaaaaaaaaa haaaaaaaaa! Kuna msanii Fulani wa muziki wa kizazi kipya kawapa kichwa! Kawatungua kawimbo ka kuwasifia! Basi wamevimba vichwa Kama vile wametunukiwa shahada ya juu!
Nampa papa by Biggy Money![/QUOTE]
Yule kaimba "WOWOWO"
 
yawezekana lakini sio wote, kuna wengine ni warembo na kichwani wako vizuri sana ukikaa naye kuongea vitu vya maana unajilaumu kwa nini hukumjua mapema.

Wengine mawazo ni mabovu kiwango cha PHD, mfano juzi kati nilikuwa na mdada mrembo sana mawazo yake sasa anawaza ujinga mtupu!
 
Balance of nature.

Asilimia kubwa ya wanawake watakao pinga jua hapo kuna mawili, either ana akili ila sura akawa kama le mutuz au mzuri ila akili kama ya le mutuz. Yan hatak kbsa aambiwe kuna alichokosa, vyote asifiwe yeye.
 
Sio warembo tu na wenye makalio makubwa, ni pumbafu pumba tupu kichwani. Uzuri na kalio kubwa vimekuwa ulemavu kama ulemavu wa viungo kwa walemavu. Hopeles
 
Ha haaaahaaaaaa! Hongera brother, that's why nikasema Wengi,Kwa maana hiyo wapo wachache kama wife wako(picha tafadhali), lkn most of them ni empty minded/hopeless
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Dah...
 
Na hili linajidhihirisha hata kielimu, ukikuta mwanamke Dokta au Profesa,muangalie jinsi alivyo muonekano wake!Warembo wengi huishia degree ya kwanza au ya pili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…