Kwanini Wanawake wengi huvutiwa Na wanaume wenye Vifua vikubwa...

siku hizi hakuna cha africa wala ulaya...kitambi sio deal...ukiona unashobokewa na kitambi chako yaweza isiwe penzi ni mfukoni kaka.

hapa tunaongelea 'real love' si 'love biashara'.

kwa Africa wanaume wenye vitambi ndo wanapendwa coz wanawake wengi ukiwa na ndambi wanadhani unazo, hayo ya vifua yameanza juzi tu baada ya tv kuingia bongo na watoto wa shule kuanza kushobokea series na kuiga kila kitu
 
Wanawake watanipa jibu..kwanini huwa mnavutiwa na wanaume wenye vifua vikubwa,Misuli misuli.
Je hao ndo wako fiti kila idara au ni mtazamo wenu kwa mahitaji yenu.

mi huwa inanipa feeling of being with a real man,nikicheck kifua napata faraja,ulinzi guaranteed,teh teh,
 
Nna rafiki yangu mumewe walivyooana alikuwa bonge la handsome. Sasa hivi ana tumbo kuliko la Captain. Akimpitia job naona mkewe anaona soo maana utasikia mume wangu amejiachia kweli. Fanyeni mazoezi...ni kwa afya zenu kwanza.
 
mtoa mada wewe nakujua na nimfupi kama mfuko wa cementi,hoja uliyotoa itakuwa imekula kwako.

Zamani ulitamba sana na mwanamke wako asiyeliwa ovyo yule anayetoa utando mweupe.
 
siku hizi hakuna cha africa wala ulaya...kitambi sio deal...ukiona unashobokewa na kitambi chako yaweza isiwe penzi ni mfukoni kaka.

hapa tunaongelea 'real love' si 'love biashara'.

Wanaume wengi tunapenda kujidanganya kwamba ni hela tu itakayokupa mwanamke unayemtaka...bora uwambiee maana kuna wanawake wana hela zao na wazuri tu. Wanachotaka ni mwanaume anayewafaa...kama hao wakununua mboa wamejaaa kila upande?
 
sasa nyie madada zetu mnataka mtuuwe tubebe mavyuma bila misosi tuanze kujazia upandwe mmoja mm bwana sina kufua wala sina kitambi wala makalio nitakachofanya labda nipige pushup maja maja kila siku mambo yakujiumiza vyuma vyuma sitoweza
na mtu akimchukua demu wangu namtegea tego msije mkasema sijawambia
 
Back
Top Bottom