Kwanini wanawake wengi hapa mjini Mahusiano yao ni yanazingatia pesa kwanza?

Umejuaje?

Ndo mnavojumuisha mambo mnaanza kidogo kama hivyo halafu mnakuja kusema ke wote ni malaya, ke wote walioajiriwa wanachepuka, ke walimu hawachepuki🤣
Iko naturally, women are wired to be nurtured. It's all hypergamy na hypergamy iko since enzi za mababu, wanawake wanatafuta wanaume bora ndo maana wanaflirt anywhere kuanzia social media's, so mwanaume lazima ajitahidi kupandisha value yake kwa kuchase purpose yake maana hayuko Peke yake, mmepangana kama sururu.
 
Iko naturally, women are wired to be nurtured. It's all hypergamy na hypergamy iko since enzi za mababu, wanawake wanatafuta wanaume bora ndo maana wanaflirt anywhere kuanzia social media's, so mwanaume lazima ajitahidi kupandisha value yake kwa kuchase purpose yake maana hayuko Peke yake, mmepangana kama sururu.
kasema ke wote wana mahusiano ya ziada, nataka nijue kathibitisha vipi?

yaani wote
 
kasema ke wote wana mahusiano ya ziada, nataka nijue kathibitisha vipi?

yaani wote
Kiasili ke wote kuwa na mahusiano ya ziada inategemeana na mahusiano aliyokuwa nayo.
Ila si kweli kama ke wote ila 90% of them wanayo ila 10% wanaishi maisha matakatifu mno kuanzia social media mpaka kitaa, yaani hawafanyi emotional text cheating wala physical cheating. Hata jf wapo wanawake wa aina hii. Hawafanyi flirting kabisa , wanaheshimu dignity zao.

Hana hoja huyo kwakuwa ametumia sample space ndogo akaconclude watu wote.
 
Mkuu hali si shwari hata kidogo, nipo early 30s ila sijampata mwanamke anaefaa kua mke. Hii imenifanya kila siku napoenda kazini nipatapo muda lazima nichombeze wasichana tofauti tofauti nikiamini ipo siku nitampata mwenye uafadhali kuliko wote. Enewei tusikate tamaa tuzidi kupambana, ila ule wimbo wa akina Marehemu Ngurumo na Tx Moshi (Ukizaliwa mwanaume kila kitu kwako itakua ni tabu) hawakukosea hata kidogo.

Achana na slay queens
 
Nimekuwa nikiwa katika mahusiano na risk tofauti lakini hakuna aliyekuwa afadhali!

Wanaamini wao ni wakuhudumiwa yeah ni wakuhudumiwa ila sasa wamezidi kutoka katika kuhudumiwa na kufanya fursa!

Pia kila mwanamke utakayemuona barabarani, ofisini nyumba hata za ibada wote hao wanamahusiano nje ya mahusiano waliyonayo! Very crazy thing!

Je, ni Hali mbaya ya uchumi au ni utandawazi maana hakuna anayejutia kuwa na mahusiano juu ya mahusiano! Na hata wale ambao ni decent wote lugha yao moja!

Maisha ya naenda Kasi sana ni wakati wakumrudia Mumba Hali siyo!

Inategemea na type za wanawake mnazofata. Ndo mana matokeo yanakuwa yale yale
 
Najitahidi sana kuwaepuka, changamoto ni kwamba siwezi oa mwanamke si mzuri kwa sura na asilimia kubwa wanawake wazuri ni slay queens, shida ndo ipo apo.
Na asilimia kubwa slay queen anataka maokoto yako yote, tafuta wabaya wabaya umalize hamu zako
 
Back
Top Bottom