comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,785
- 18,178
Wanaongea sana kwasababu wana mengi ya kuongea....easy!
Dark angelMyths
AseeeNgoja nimalizie mbege yangu ntarudi ku comment babaangu
Pombe sio chaiUkiona wanawake wawili wembamba wanaagombana Yule mwembamba ambae Hana tako ndo mgomvi
EnheDark angel
Dogo...!!
Mkuu demu wako mwembamba kakukera kwa kuongea saaana nini?
Wanaongea sana kwasababu wana mengi ya kuongea....easy!
Tatizo dogo kibri sana wewe.[emoji3][emoji3]Unazingua sana mwanangu
Una dada au dogo wa kike anaefaa?Tatizo dogo kibri sana wewe.[emoji3][emoji3]
Embu weka namba yako hapa nikutumie hata hela ya kula leo.
Ndio maana unatengeneza mazingira ya kulipata litinginya lisiloongea kabisaSina demu
Wewe bila shaka ni mchagaNgoja nimalizie mbege yangu ntarudi ku comment babaangu