Babati Yetu
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 374
- 120
Mie ni mwanamke mnene, nimeolewa, na si mrahisi kama unavyo sema, niko mwaka wa tano kwenye ndoa na nina miaka thelathini tuu(usije dhani kuwa mi ni kizee). Na sijawahi kuwa na mchepuko japo wapo wanifuatao
wanakufata wanaume wenye mbavu nyembamba ndio mana!ngoja wakufate wenye mbavu nene kama hujavua kyupi chako tena kwa haraka.Mie ni mwanamke mnene, nimeolewa, na si mrahisi kama unavyo sema, niko mwaka wa tano kwenye ndoa na nina miaka thelathini tuu(usije dhani kuwa mi ni kizee). Na sijawahi kuwa na mchepuko japo wapo wanifuatao
Mie ni mwanamke mnene, nimeolewa, na si mrahisi kama unavyo sema, niko mwaka wa tano kwenye ndoa na nina miaka thelathini tuu(usije dhani kuwa mi ni kizee). Na sijawahi kuwa na mchepuko japo wapo wanifuatao
we mleta mada lazima utakuwa ------ tu km ungekuwa lijari usinge post uongo km huu mbona mama ako ni mnene naye ni mrahisi..? acha kuongea pumba km vp rudi facebook pimbi we acha kukurupuka siku nyingine au umeamua kupost baada ya kuona mama ako
Aisee pole, ila umechangia kwa hisia sana.
Grace
Hawana soko,sa watamringia nani?