Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,080
- 12,319
Sijui ni kwaupande wangu tu, au ni kawaida. Katika uzoefu wangu wa kutongoza, nimegundua kua wanawake wanene nikama wanangoja tu waambiwe nawao wakubali.
Hiikitu ni tofauti kabisa kwa wanawake we mbamba (model). Sasa tatizo ni nini? Kutojiamini au wamekua hawatongozwi mara kwa mara.
Huenda ni malaya kiasili au wanajiona hawavutii machoni pa wengine, hivyo kuana nibora wakubali mapema ili jamaa asije akaghairi.
Nimekua nikijiuliza bila kupata jibu sahihi.Nimeamua kulileta hapa mezani huenda wenyewe wakapita hapa na kulitolea ufafanuzi.
Natanguliza shukrani