pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
- Thread starter
- #21
Good.. nisije nikakupoteza bure..Siwezi sombwa sipo jangwani mm
Good.. nisije nikakupoteza bure..Siwezi sombwa sipo jangwani mm
Swali gumu hili!!!!Wanaume pasua vichwa,michepuko mingi ndo maana hamuaminiki,bakini njia kuu hamtoona matabaka, tatizo lenu msione sketi macho yanawatoka kama fundi saa,afu niwaulize hivi kwann mwanamke akipita mnageuka kuangalia nyuma hata kama hana wowowo. [emoji23]
Tuna saminisha kama ana viwango vya tbsWanaume pasua vichwa,michepuko mingi ndo maana hamuaminiki,bakini njia kuu hamtoona matabaka, tatizo lenu msione sketi macho yanawatoka kama fundi saa,afu niwaulize hivi kwann mwanamke akipita mnageuka kuangalia nyuma hata kama hana wowowo. [emoji23]
wanawake ni maua......hakuna jicho lisilopenda kuangalia ua.....mtusamehe tuu....kuna wanawake warembo sana.....mie huwa nageuka tuu......potelea mbali.....Wanaume pasua vichwa,michepuko mingi ndo maana hamuaminiki,bakini njia kuu hamtoona matabaka, tatizo lenu msione sketi macho yanawatoka kama fundi saa,afu niwaulize hivi kwann mwanamke akipita mnageuka kuangalia nyuma hata kama hana wowowo. [emoji23]
Naiangalia avata yako na msambwanda huo ..najiuliza ww ni me au keSiku hizi sio kama zamani kabisa!!
Yan watu hawa aminiani.. yan kuna mdada ukimsalimia kwanza lazima akuangalie mara mbili mbili ndio aitikie..
Kuna mwingine ukiomba tu namba kwa mawasiliano mhhh anaweza akakujibu jibu hilo hadi ukakumbuka jina lako la utoto!??
Mbona wanawake mmepoteza imani na wanaume!??
Tumewafanya nn!??? Au tumekosea wapi!??
Siku hizi mnaangalia hali zetu kuliko utu wetu.. yani nikiwa na kigali au nyumba au status mjini ndo naweza kuwa karibu na wanawake wengi wa mjini..
Lakin ukiwa unaishi kawaida mwanamke akikuzoea ujue ni kati ya wale wanawake wachache waliobaki wenye misingi..
Au kuna sehemu huwa mnaonana either kazin au mlisoma wote au mnaishi mtaani...
Hakuna social bond kabisa kati ya viumbe hivi viwili..
Na ndio maana sikuhizi wanaume wamekuwa waongo na kudanganya shuhuli zao ili mradi tu awe karibu na mwanamke anaemtaka..
.
Tunaishi maisha fake yasio asilia.. yaan kuna bidada utamuona anaringaaa mpaka unajiuliza huyu ana nn!?? Ana vimba kwelikweli ujue hapo kuna mtu anamuweka mjin afu mambo flan yapo..
Mwisho... pia kuna wadada wepesiiiiiiiii.. unaweza kuomba namba akakupa hadi chozi linamtoka kwa furaha...
Wanasumbuaga hao.. kutwa kupiga simu na kuchatiiii mpaka unajiuliza mhh huyu vipi!??
Ukiona hivyo ujue hali zetu ni kama sisi tu yaan kawaida..
View attachment 746580
Kwa hiyo unataka kusema ni haki kwa wanaume kugeuka na kuwaangalia wanawake wenye wowowo? Kama wewe mwenyewe (kama ni msichana, mwanamke), una mtazamo huu, unafikiri wanaume watakuwa na mawazo gani.?Wanaume pasua vichwa,michepuko mingi ndo maana hamuaminiki,bakini njia kuu hamtoona matabaka, tatizo lenu msione sketi macho yanawatoka kama fundi saa,afu niwaulize hivi kwann mwanamke akipita mnageuka kuangalia nyuma hata kama hana wowowo. [emoji23]