DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,308
- 5,025
Daaaaahhh huzuni sana.Ndoa ni ajira kwa mwanamke ndugu yangu divisheni foo yani hapo mwanaume unakuwa umemsaidia
1.Makazi
2.Chakula
3.Mavazi
4.Afya akiugua
5.Ulinzi na usalama
6.Watoto na heshima
7.Usafiri akitaka kusafiri
8.Ukifa anarithi Mali zote
9.na unaweza kumfungulia biashara yake
Yote hayo utayafanya in exchange of sex
Ni mfumo ndio unataka hivyo wenyewe wanasema "anything with penis can be fooled"Daaaaahhh huzuni sana.
Yaani mambo yote hayo anafanyiwa kwa malipo ya mbunye tu?
Unfair trade.
Ndoa zilikua zinaenda sambamba na mfumo dume , kama mfumo dume hakuna na ndoa lazima zife tu.Nadhani kwao ndoa ni kama heshima.
Mara nyingi nimeshuhudia kwenye arguments za wana ndoa kuhusu mipango ya kimaendeleo.8.Ukifa anarithi Mali zote
Mfumo dume ndio mfumo perfect kwa ndoa.Ndoa zilikua zinaenda sambamba na mfumo dume , kama mfumo dume hakuna na ndoa lazima zife tu.
Na mifumo dume ndio ilikua inahamasisha wanaume wa kipindi cha nyuma kuoa π€π€π€ sasa hivi kipi kitakuvutia kuoa?Mfumo dume ndio mfumo perfect kwa ndoa.
Ukileta usasa na u feminism hapo lazima ivunjike.
ndoa ni heshima kubwa mno miongni mwa jamii,Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.
Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa.
Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini?
Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa nguvu kiasi hicho?
Ndoa ni Muunganiko wa hiari wa watu wawili waliopendana, lakini haya mambo ya KUFOSI yananitisha?
Shida ni nini? Ni hamu ya kushenyentwa? Au ni hamu ya kuzaa? Au ni njia ya kusaka ugali?
Kama ndoa ni nzuri sana kwa pande zote mbili, mbona sionagi wanaume wakihaha makanisani kutafuta wanawake wa kuoa?
Sijawahi kuona dume linaombewa kanisani ili lipate mke!
Wengine mpaka wanapakwa mafuta ya upako ili waolewe.
Hii imekaaje?
Nyege na tamaa za pussyNa mifumo dume ndio ilikua inahamasisha wanaume wa kipindi cha nyuma kuoa π€π€π€ sasa hivi kipi kitakuvutia kuoa?