supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 1,023
- 1,979
Nakumbusha tu MKE WA MTU NI SUMU,
na mume wa mtu ni maziwa hafi mtuNakumbusha tu MKE WA MTU NI SUMU,
[emoji3] [emoji3] [emoji23]Halafu vilainish vya sasa hv ni feki
Nadhani zilikuwa ni habari za uzushi tu hakuolewa.Kwasababu jamii ndiyo imeshatujenga hivyo, mwanamke ukifikisha miaka 30+ hujaolewa, wazazi wanakuwa na wasiwasi, marafiki wote uliosoma nao wameolewa na wana watoto unajiona tofauti sana. Wakati Oprah ameolewa mwaka huu akiwa na 60+.
Nilisomaga Ebony zamani sana in 90's ni kuwa walishapanga harusi kitabu cha Oprah kikatoka ndani yake alimzungumzia Graham, Graham alikasirika sana wakaamua kuairisha harusi, Oprah alikuwa very disappointed akamwambia kama unaahirisha leo hatutaona tena.Nadhani zilikuwa ni habari za uzushi tu hakuolewa.
Yule yuko kwenye u boyfriend na girlfriend mwaka wa 30 huu.
Wangapi?Tunaolewa tu kutoa nuksi