Kwanini wanawake wanaamini wanaume wote ni sawa?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,224
Reaction score
166,279
Utawasikia wanawake walisema wanaume wote ni sawa wakati mwingine husema Wanaume wote mwalimu wao mmoja.
Kwanini Mnaamini hivyo?
Wanawake naombeni jibu
 
Wanawake mkuje huku haraka, ajenda ipo mezani seat zimebaki chache
 
Utadhani wamekutana na wanaume wote duniani..

Hiyo ni kauli ya udhaifu..!!
 
Utawasikia wanawake walisema wanaume wote ni sawa wakati mwingine husema Wanaume wote mwalimu wao mmoja.
Kwanini Mnaamini hivyo?
Wanawake naombeni jibu
labda mabikra kwa sisi ambao tushajaza treni mbili tunajua kabisa hakuna kufanana kila mtu na mzigo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…