Kwanini wanawake wa Kitanzania wanadharau za kijinga?

Leo Nipo Na Nyie humu,

Baada Ya Kutembelea “Robo Tatu” ya Nchi za Afrika na Nchi kadhaa za Ulaya na Asia, Nimegundua Wanawake wakitanzania Huwa na Dharau za Kijinga mbazo Baadae hufanya Wajutie. Wanawake wa Kitanzania akikuona Kwa Mara ya Kwanza Hushusha “Value” Ya Mwanaume Chini Kabisa Hadi pale atakapo jua “Status” ya Mwanaume aliyepo Mbele yake ndio hupandisha Juu “Value” ya yule Mwanaume,Muda Mwingine Hujikuta Wamechelewa.

Mwanamke wa Kitanzania tofauti na wanawake wengine wa Kiafrika Hawezi kukupa heshima unayostahili mwanaume hadi akujue wewe ni nani? Ndio Muda Ambao Hata ukimsalimia anahisi unamtaka.

Hawa Wanawake Wa Kitanzania kwa Sababu ya Ushamba na Ulimbukeni hata wakifika Nchi za Watu hujikuta wanapoteza dhamani yao kwa Wa Nigeria, Wa Ghana na Wanaume wa nchi zingine kwasababu wanaamini kuwa hao wanaume wana status fulani kumbe shida ni Kama Zetu.

Nimekutana na Wanawake wa Kitanzia katika nchi nilizotembelea wakiteseka sana na Mapenzi kwasababu ya Ulimbukeni na wakizalishwa na Kuacha. Hakuna Kitu kirahisi kama Kutembea na Mwanamke wa Kitanzania Mkiwa Nchi za Ugenini ni rahisi Mnoo.

Ni wapongeze wanaume wakitanzania, ndio wanaume wanaopendwa na kutafutwa mnooo na wanawake wa Mataifa Mengineee. Muda mwingine nikiwa Nchi za Watu nimekuwa Sijitambulishi kama Mtanzania kuogopa Kusumbuliwa na Wanawake wa Mataifa Mengine.

Kwasababu, Kwanza Wanaume wa Kitanzania Ni wachache sana Nchi zingine, Lakini Pili sifa Zao ni nzuri mnooo zinazofanya wanawake wa Mtaifa Mengine wavutiwe nao sanaaaa…(Mlio Nje Ya Nchi Mtakubaliana na Mimi katika Hili).

Mfano, Nigeria Kwa Population Wanawake ni Wachache sana Kuliko Wanaume, Hivyo wanaume huhitaji kutumia nguvu kubwa sana Kumpata Mwanamke ikiwa ni pamoja na Kuhonga, Ile imekuwa Culture yao, Hata wakiwa Nchi zingine hufanya Hivyo, Lakini Ndio wanaume wanao ongoza kwa kuwachezea wanawake hasa wa Kitanzania, Kutembea nao na Kuwaacha, Lakini hilo huwezi kuona Kwa Mwanaume wa Kitanzania.

Mwanaume wa Kitanzania hata kumtelekeza mtoto au mimba akiwa Nchi za Ugenini ni ngumu sana no matter magumu gani anayapitia. Kongole wanaume wa Kitanzania.

Turudi kwenye Mada, Nina Scenario Mbili ndogo, ukitaka Safari yako ya Ndege iwe ya kuboa, na Kukera basi pata Siti Moja na Mwanamke wa Kitanzania utasimlia, Nakumbuka Kuna Dada wa kitanzania Tulikaa siti moja, mimi yeye na Mwanaume wa kiburundi, Yule Dada Anafanya Biashara ya Nguo, na Ilikuwa mara yake ya pili kusafiri na Ndege.

Mwanaume wa kiburundi alijaribu kumuongelesha yule dada, alioneshwa dharau ambayo utasema hawa watu wanajuana na wana ugomvi. Moyoni niliwaza huyu dada Biashara yake itakuwa kweli kama Anadharau watu ambao wanaweza kuja kuwa wateja wake?

Scenario Nyingine Nilikaa siti moja na Mwanamke wa Ki South Afrika tukitokea nchi Fulani, Japo Kingereza Changu, Cha Shilole kina nafuu ila Safari ilikuwa ni nzuri Mnoo kwa Uchangamfu wa Yule Dada, Mwisho Aliniambia kazi yake kubwa ni Tax auditing katika nchi za Afrika Zilizo Chini ya AU hivyo anasafiri sana na Hela Anayo. Nikawaza Hii status angekuwa nayo mtanzania ningejuta kuzaliwa leo. Yule Dada Ni Rafiki Yangu mkubwa hadi leo.

Wanawake wa kitanzania Acheni dharau mnapoteza Opportunity ambazo hamzijuii Maisha ya Kitanzania ni Lazima Uwe na “Connection” tengenezi connection na watu hamjui kesho yenu.
Umekutana na wangapi maan inaonyesha ka list kako kamechangamka.
Wanaume acheni maneno jamani mnatuchosha🙆🙆
 
Ni wapongeze wanaume wakitanzania, ndio wanaume wanaopendwa na kutafutwa mnooo na wanawake wa Mataifa Mengineee. Muda mwingine nikiwa Nchi za Watu nimekuwa Sijitambulishi kama Mtanzania kuogopa Kusumbuliwa na Wanawake wa Mataifa Mengine.

Hapa umetulisha matango poli wanatafuta vutunguu maji vya kuwaliza Tz vipo vingi
Hajadanganya ni ukweli wanaume wa kitanzania ni wavumilivu wa drama zetu wanawake na wanabembeleza sana kingine tamaduni za watanzania tulio wengi mwanaume anatakiwa kumtunza mwanamke wake sasa hiyo wakienda huko nje wanaiishi,, ndo hapo wanawake wa mataifa mengine wanapojigonga,, kuthibitisha hili jaribu kumdate mkenya mganda au mnigeria uje hapa kusimulia
 
Kuna tatizo kubwa sana Kwa wabongo hata wanaume one love ya kweli hasa ugenini haipo wengine hate na majungu, mfano south Africa Adui mkubwa wa mtanzania ni mtanzania mwenyewe

Correct Mkuu, Nimewahi Kaa SA ilikuaa bora Uwe na Rafiki Mzulu Ila Sio Mtanzania
 
kuna nchi moja nilikaaa sasa mwanzo kabla sijajua mazingira mwenyeji wangu akanipeleka sehemu ya kupanga ambao wako wa niger, shot story wa niger walikuwa best zangu japo sio kivile kuna dada nilikuwa na mkuta sana ni mzuri nilikuwa najaribu kumsalimia ila huwa haitiki unakuta yuko busy na simu na hata mkikutana njiiani yuko busy hata salamu baadae nikaja kujua ni mtanzania tena wa mtogole.

kuna siku niko nje nilivyo muona nikajifanya kama naongea na simu ila kwa kiswahili ili mradi asikie tu kuwa na mimi ni wa bongo then kuanzia hapo nikapotezea.
siku ya siku wanaija walikuwa wanatafutwa na polisi balaa kwa ishu zao ******** jioni wakaja wanataka kuhama sasa sijuii kuna vitu vya manzi alikuwa navyo wakachukua ile wanajaribu kubishana demu alipigwa kidogo kufaa mpaka akazimia.
nyumba ikawa empty demu hana pesa ya kupanga tena kumbe aliwapa jamaa wafanye biashara wakamuhaidi wanarudisha... (story ndefu)

kifupi yule demu nilimlaa miezi minne alivyopata nauli akaondoka bongo

Sijui Shida ni Malezi Au Changamoto ni Nini Kwa Dada Zetu wa Kitanzania
 
Na nyinyi msiseme tu wanawake wanadharau mm binafsi cpendag shobo za kijinga km mwanaume zingatia mipaka yako mnavuka mipaka Sana unakutana na mtu vzur unamuheshimu vzuri jioni anakuita lodge lazima nikuzarau ukiangalia umri wa baba ako badilikeni
 
Madem wa kibongo,mnazjngua Sana,mko afisi moja,anakudharau kiss hakujui una Nini,siku akija kwako akiona ulivyonipanga. Na Mambo yako swaafi kwa kila kitu anaanza kujibebisha
 
Niko platform Moja ya mazoezi inajumuisha nchi nyingi Sana duniani....wanawake wengi wa mataifa kama south Africa , Kenya, ulaya na america yaani wana socialize vizuri Sana...ukija wabongo Sasa kwanza ni fully kichefuchefu kwanza wanaringa , hawako social kabisa na wanajudge watu Sana kwa mwonekano....Wapo wachache Sana they are nice ...ndio maana Mimi huwa sipotezi muda kabisa Kwa wanawake wa kitanzania.....Wana ulimbukeni na kujiona Sana ...halafu KIKUBWA wengi wadangaji tu....mdangaji hawezi value mtu yeye anagaalia pochi la mwanaume .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na nyinyi msiseme tu wanawake wanadharau mm binafsi cpendag shobo za kijinga km mwanaume zingatia mipaka yako mnavuka mipaka Sana unakutana na mtu vzur unamuheshimu vzuri jioni anakuita lodge lazima nikuzarau ukiangalia umri wa baba ako badilikeni
Hakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko platform Moja ya mazoezi inajumuisha nchi nyingi Sana duniani....wanawake wengi wa mataifa kama south Africa , Kenya, ulaya na america yaani wana socialize vizuri Sana...ukija wabongo Sasa kwanza ni fully kichefuchefu kwanza wanaringa , hawako social kabisa na wanajudge watu Sana kwa mwonekano....Wapo wachache Sana they are nice ...ndio maana Mimi huwa sipotezi muda kabisa Kwa wanawake wa kitanzania.....Wana ulimbukeni na kujiona Sana ...halafu KIKUBWA wengi wadangaji tu....mdangaji hawezi value mtu yeye anagaalia pochi la mwanaume .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Some points upo real hongera sana hata humu wapo hawana lolote kabisa full kujiona Hana mbele katikati popote pale shishss
Hela za misimu,
Wanaume wabongo it's the same wanaringa hawana lolote makuzi tu
 
Back
Top Bottom