Kwanini Wanawake tunawaona ni tishio?

Na unakuta mtu anaongea kwa ujasiri kabisa kwamba, "Tafuta hela wanawake watakuja wenyewe".

Stupid kabisa, Unatafutaje pesa kwaajili ya wanawake?
Unasahau kabisa hata uwe na pesa vipi kuna mtu atakuzidi tu na anauwezo wa kumchukua huyo mwanamke mpenda pesa kama akitaka.

Ondoa wanawake kwenye equation yako ya mafanikio.
 
Sio tishio kama unavyosema ila their decision making system is not based on logic rather than unstable feelings

Dunia ilivyo inategemea logic pale juu sio hisia za mtu ambae leo yuko hivi kesho yuko vile
 
Baba mtakatifu91 achana na mapenz
 
Kuna mda mke kazingua upo kwenye tempa ya hali ya juu vibaya mno
halafu anakusogolea usoni anapayuka kwa sauti kali ya juu
'kama wee ni mwanaume nipigeee.nipigeee sasa mbwa wee'

Hapo usipotumia akili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…