Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,674
- 7,632
Hangaika na kwenda form five. Mengine waachie wenye meno watafuneSalamu kwenu wakuu........Binafsi siyo mwandishi sana ila nitajitahidi kadiri niwezavyo kufikisha ujumbe.
Nimekaa nikawaza hivi kwanini wanaume tunatumia nguvu nyingi sana
1.Tupewe attention na wanawake
2.Kwanini mkazo unaelekezwa kuishi na wanawake kwa akili?
3.Kwanini hata hapa jukwaani hawa viumbe wanaonekana ni tishio kiasi hiki
4.Hii inakatisha tamaa kwa wale ambao hawajaingia kwenye mahusiano
5.Na pia inawajengea wanawake inferiority complex kwamba wao ni wa hivyo hivyo
6.Binafsi natamani sana kuishi kwa usawa bila kuwindana
7.Tusiumize vichwa sana kuhusu hawa viumbe tuwachukulie simple tu
Karibuni
Hii inaitwa tumalizieHangaika na kwenda form five. Mengine waachie wenye meno watafune
Haaaaaaaah but Adam have high IQ
Wewe ni polisi au mjeda?!!Yaani ka kitu kadogo amenikasirikia just imagine tulikuwa tunachati naye kwa style hii
YEYE:MAMBO KIPENZI CHANGU
MIMI: POA
YEYE:NAKUPENDA SITAKI NIKUPOTEZE
MIMI:SAWA
YEYE:NIMEJISIKIA VIBAYA ULIVYONIJIBU SAWA
MIMI:LOADING.....................................................!
Wadau kosa langu liko wapi hapo na mimi ni ngosha siwezi kunyenyekea mwanamke
Ningemjibuje sasa nielekezeWewe ni polisi au mjeda?!!
Yaani mwenzio anajimaliza wewe ndo kwanza unamjibu dry dry!
Sio poa mwenetu 🤣🤣🤣
Unajua nini, hao wanaowaambia msiwanyenyekee wanaume muwe mnawauliza vizuri wawafafanulie. Kumjibu mwenzio kimahaba haimaniishi kumnyenyekea. Umeumiza hisia zake mkuu.
Usinambie hata kumtongoza ulimtongoza kijeda?Ningemjibuje sasa nielekeze
Alinishobokea baada ya kulia lia ndo nikamkubalia tuUsinambie hata kumtongoza ulimtongoza kijeda?
Salamu kwenu wakuu........Binafsi siyo mwandishi sana ila nitajitahidi kadiri niwezavyo kufikisha ujumbe.
Nimekaa nikawaza hivi kwanini wanaume tunatumia nguvu nyingi sana
1.Tupewe attention na wanawake
2.Kwanini mkazo unaelekezwa kuishi na wanawake kwa akili?
3.Kwanini hata hapa jukwaani hawa viumbe wanaonekana ni tishio kiasi hiki
4.Hii inakatisha tamaa kwa wale ambao hawajaingia kwenye mahusiano
5.Na pia inawajengea wanawake inferiority complex kwamba wao ni wa hivyo hivyo
6.Binafsi natamani sana kuishi kwa usawa bila kuwindana
7.Tusiumize vichwa sana kuhusu hawa viumbe tuwachukulie simple tu
Karibuni
Aahaaa....Alinishobokea baada ya kulia lia ndo nikamkubalia tu
Not my levelHizi mada zipo kwenye debate za kidato cha pili...
Unaonaje ukajadili na wanafunzi wenzako huko shuleni kwani bado wiki mbili tu shule zinafunguliwa
Kutokujibu meseji tu ndo simpendiAahaaa....
Kumbe basi yawezekana humpendi
Hapana ila kutokutaka kuhangaika kumjibu vizuri.Kutokujibu meseji tu ndo simpendi