Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?
Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...
huwa wanaogopa kauli kama hiyo hapo kwenye blue na zingine zinazofanana na hizo.
mbona mm wife kanizidi kila kitu lakini huwa anapiga magoti kuomba msamaha anaponizingua.....kuna wanaume wengine tuliumbwa vibaya haijalishi una nini au ukoje ,status ya mume na mke iko palepale huwa sileagi ujinga kabisa
And vice versa aplies
tatizo huwa liko kwenye management, who will be the voice?.. always a man will force to be, but how? the sterling is under the woman side, can you bark to her?. wont you be pushed out?!
Ntajitahidi,haya sasa nipm sasa tukamilishe process.Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......