Kwanini wanawake mnafanya hivi jamanii?

Kwanini wanawake mnafanya hivi jamanii?

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
2,255
Reaction score
1,565
Leo nimetongoza dada mmoja tunaimba naye kwaya..sasa kwa bahati mbaya au nzuri kuna mwanakwaya mwenzngu kaniona,,tena yeye ni Choir Master…yaani hata dakika kumi hazikupita huyo jama akanitumia message ,"Hahahaha du..it was those women of old days ambao mpaka umpate ni lazima ukatambike… ngumu kweli kumesaaaa lakin ndio ukweli ila huyo ukishindwa piga leo leo weni ---- wenzio wote tunapigaga siku moja
Nilishituka sana lakini mwisho wa siku nikasema anyway hata kama I can still change her hehaviour..
Nimetoka hapo nikakutana na mshikaji wangu kabisa ambaye ndio kanikata maini kama sio figo si akaanza kunipa story za huyo huyo bint? Aiseee mpaka nimeamua kukimbilia hapa yamenikuta nikasema ngoja niwape ushauri dada zangu aisee
Nimekutana na mshikaji wangu ananambia Yule demu niliyeanza kumtongoza Choir master kamwambia,so ameona aje aniambie tu kuwa ni demu wake ambaye atachana naye mwezi ujao….hee I was like seriously dudeeee? Jama akanijibu Mdumbe me nimeoa sasa niwe naye zaidi ya mwezi wa nini? Siwezi hata panga naye kuwa tununue kiwanja coz sina future naye….heeee nikakunja nne like kitu furani amazing vile..kumbe ndio ilivyo? Sound new to me….kilichonishangaza eti demu naye anajua ni part time? Duuu kwa hiyo kama zile ndoa za mkataba au siyo?…Du wanaume tumuogope Mungu aiseeee ...
baada ya hapo nikaja zangu huku pande za baharini akili ikae vizuri..nikaagiza kitu cha bata nikasema nikae na vijana kidogo….
Very interesting aiseeee..sema nini unajua ..wanawake muda mwingine mna tia aibu…u know what? Take this…boys gossip a lot aisee..tena ukikuta ua dating a boy…ndio salaleeeeh yaaani wakikutana wanapiga story they gossip abt girls….wakati mie nakuwa mambo haya hayakuwepo saiziiii me mzeee kidogo na upala unaninyemelea….kwa hiyo mara chache kusikia mambo ya vijana..sema nini juzi ndio nimejua vijana wenu hawa mnaowadate "they called boys" aisee mpaka niliogopa mpaka naandika hapa lol nimeamua niwape free advice aiseee
ukitendwa unafuta vumbi unasonga mbele tatizo wengi wakitendwa lawama wanapeleka zaidi kwa mtendaji hajichunguzi yeye wapi alikosea ili uhusiano unaofata asitendwe….wale vijana wakaanza piga story kumbe katika lile group wanalopiga story vijana wanne kati ya watano wametembea na huyo dada..wakanza kusimulia sasa..huyu anasema hiki Yule hiki..huyu ana ,mwingine anamwambia umesahau kuwa anavyofanyaga vile..yaani mtu mzima ilibidi niiache konyagi yangu nisepe maana nilihisi kama wanamvua nguo mwanangu aisee
Wanawake acheni kuwa public toilets ..eti mjisitiri muwape heshima mama zenu na ndugu zenu sio mtaa mzima wanakujua maungo yako yaani hata uvae baibui ni kama uko uchi wa mnyama..jitofautisheni na wanyama,,Mungu amempa binadamu staha..kumbukeni chochote kinachotokea katika jamii hiii ni aibu ya mwanamke….Ogopen kudate boys…mwisho wa siku watawarecord na kuwapiga picha wasimbaze kwenye internet…kumbukeni INTERNET NEVER FORGET ..WAOGOPENI WANAUME WANAOWASEMA,,MUWE NA VIFUA SIO KILA JAMBO UNALIWEKA WAZI TU KWA HAO BOYS WENU at the end wanatumia ngao ya kuwaumizia ..
WANAUME TUWE NA STAHA KWA WANAWAKE…HIVYO MNAVYOWADHALILISHA NDIVYO DADA ZENU PIA WATADHALILISHWA.WAHESHIMUNI DADA ZENU KAMA MNVYOTAKA DADA NA MAMA ZENU WAHESIMIWE..KAMA ULISHAWAHI KUFANYA KITU KAMA HICHO ATLEAST MAKE 2015 IS A YEAR TO REGRET AND FANYA TOBA ILI CHOZI LA MWANAMKE LISIJE KUPA LAANA

NIWATAKIENI KILA LA KHERI KATIKA UJENZI WA TAIFA.KHERI YA MWAKA MPYA HIZI NI SALAAM ZANGU KWENU…
 
Hivi jamani dume zimaaaa na pu.mbu zako 2, na misharubu kifuani, ndevu kama mbuzi unakaa ukimdiscuss DEMU? Gademuuuuuuuuuuuuuuu!

Anyway ila na sisi tunajadiligi KATIBA kama ni ENDOWED, PRETTY MUCH AVERAGE AU KIBAMIA. Ni itifaki tu inafatwa. GIRLS WILL ALWAYS BE GIRLS. Ila since umbea is our middle name, saves us right. ILA DUMEEEEEEEEE???????????? Msije sutwa tu na keki na shampaign. Raha ya umbea kusutwaaaa babu nyieeee msije tu fika huko.
 
Siri ya mtungi aijuaye kata, wakati fulani watu hukuza habari kulingana na mtizamo wa jamii husika.

Swali langu kwako, je wewe ni mgeni hapo kwenye kwaya kwamba hujui a,b,c za huyo mwanakwaya?

Sio kila linalosemwa kuhusu udhaifu wa wanawake ni kweli, vinginevyo kusingekuwa na mahusiano. Cha msingi tambua hakuna aliye msafi.

Binti mmoja aliwahi zushiwa kuwa mi maharage ya mbeya na orodha ya wanaume ikaandaliwa, kumbe wapi walikuwa marafiki tu, mijanaume mingine ikisikia watu wanaitana baby, mpenzi n.k inawaza ngono tu.
 
Yaani umeandika mchakamchaka nimesoma kama nimeachwa na gari ubungo n hivi hao wanaodate "boys" bado hawajijua wakijijua watajielewa halaf mwanaume akisogoa kamamwanamke me jibumoja tu yy n shoga au ana element za ushoga mwanaume mzima anakosa la kufanya kukaa kumjadili mwanamke eish
 
mkuu hapa kwenye choir nina miezi sita tu..kwa hito siwezi sema me mwenyeji sana..maana it take a life time to study a girl...halafu mkuu najua unajua how you feel ukipokea negative side za mwanamke ambaye umemuweka kichwani kuwa ukimpata you want to make her a last page of your women history
 
nisamehe mamaafacebook yaani unajua ile ya kuandika huku unasema y...y...siku ilinishia vibaya maana nilyedhani nataka awe blanket ya maisha watu wanaharibu tena bila kuulizwa
 
nisamehe mamaafacebook yaani unajua ile ya kuandika huku unasema y...y...siku ilinishia vibaya maana nilyedhani nataka awe blanket ya maisha watu wanaharibu tena bila kuulizwa

Pole sana
 
Hivi jamani dume zimaaaa na pu.mbu zako 2, na misharubu kifuani, ndevu kama mbuzi unakaa ukimdiscuss DEMU? Gademuuuuuuuuuuuuuuu!

Anyway ila na sisi tunajadiligi KATIBA kama ni ENDOWED, PRETTY MUCH AVERAGE AU KIBAMIA. Ni itifaki tu inafatwa. GIRLS WILL ALWAYS BE GIRLS. Ila since umbea is our middle name, saves us right. ILA DUMEEEEEEEEE???????????? Msije sutwa tu na keki na shampaign. Raha ya umbea kusutwaaaa babu nyieeee msije tu fika huko.

Mwanaharakati wewe ungekuwa huwa unajibu pm zangu ninapokuomba namba yako ningekuwa nishakupiga na vile vinywaji vyako kibao leo..maana una maneno machache lakini yanayoweza kumfanya mtu tumbo la kuhara limshike aisee..live long life
 
mkuu hapa kwenye choir nina miezi sita tu..kwa hito siwezi sema me mwenyeji sana..maana it take a life time to study a girl...halafu mkuu najua unajua how you feel ukipokea negative side za mwanamke ambaye umemuweka kichwani kuwa ukimpata you want to make her a last page of your women history

Basi punguza kasi wakati ukiendelea kumsoma na kufuatilia hayo uliyosikia ili mwishoni usije sema "ningejua".
 
Sometimes huwa nahisi nna kichwa kigumu kuelewa.
Anyway, I hope watakuelewa kwa ushauri wako. In the mean time, men are as bad as women can get
mkuu siku ikifika yakakukuta haya yaliyonikuta utaelewa tu kiongozi wangu
 
Sometimes huwa nahisi nna kichwa kigumu kuelewa.
Anyway, I hope watakuelewa kwa ushauri wako. In the mean time, men are as bad as women can get
Sijui jamaa ni Le mutuziiiiiiiiiiiiiii?
 
kama utaweza unaeza ukaandika sentensi mbili tu chini ya koment hii...LENGO LA UZI HUU NI NINI??
 
Hivi jamani dume zimaaaa na pu.mbu zako 2, na misharubu kifuani, ndevu kama mbuzi unakaa ukimdiscuss DEMU? Gademuuuuuuuuuuuuuuu!

.

Binti, it is all about inner quality....wengine ni wanaume physically, mentally si wanaume na si wanawake. It is difficult to define them....ni viumbe tu, wasamehe bure.
 
Back
Top Bottom