Kwanini wanawake mnafanya hivi jamanii?

Kwanini wanawake mnafanya hivi jamanii?

kama utaweza unaeza ukaandika sentensi mbili tu chini ya koment hii...LENGO LA UZI HUU NI NINI??

Ukitaka kutoa maumivu ya moyo speak out ulicho nacho moyoni
lengo ni kupunguza maumivu ya moyo wangu pia nakuwashauri akina dada ambao they are still falling in luv with boys
 
Ukitaka kutoa maumivu ya moyo speak out ulicho nacho moyoni
lengo ni kupunguza maumivu ya moyo wangu pia nakuwashauri akina dada ambao they are still falling in luv with boys

bado sijakuelewa ila ngoja nijaribu kutumia uzoefu tu

WHY USHAJRI WADADA KWANI WAKAKA HAWAFALL NA KUANGUKA MAPENZINI

kwa hiyo na wewe hapo juu ndo umetoa maumivu yako???

SASA KUTOA MAUMIVU NA KUFALL IN LOVE MBONA NI DUNIA MBILI TOFAUTI???

bana usiku mwema mi sielewi
 
Wanaume kama mabinti......

BTW Pole sana mtoa mada
 
we naye sijui ni mwanaume au mwanamke mbona mwandiko wako umekaa ki umbea mbea ivo
 
Ulivyomtongoza nawe si ulitaka awe mchepuko wako? Au pamoja na umri wako kwenda bado hujaoa
 
mzaramo uyu mpaka ana andika kama anaongeaa ..eti sema nini. ??
 
Leo nimetongoza dada mmoja tunaimba naye kwaya..sasa kwa bahati mbaya au nzuri kuna mwanakwaya mwenzngu kaniona,,tena yeye ni Choir Master…yaani hata dakika kumi hazikupita huyo jama akanitumia message ,”Hahahaha du..it was those women of old days ambao mpaka umpate ni lazima ukatambike… ngumu kweli kumesaaaa lakin ndio ukweli ila huyo ukishindwa piga leo leo weni ---- wenzio wote tunapigaga siku moja
Nilishituka sana lakini mwisho wa siku nikasema anyway hata kama I can still change her hehaviour..
Nimetoka hapo nikakutana na mshikaji wangu kabisa ambaye ndio kanikata maini kama sio figo si akaanza kunipa story za huyo huyo bint? Aiseee mpaka nimeamua kukimbilia hapa yamenikuta nikasema ngoja niwape ushauri dada zangu aisee
Nimekutana na mshikaji wangu ananambia Yule demu niliyeanza kumtongoza Choir master kamwambia,so ameona aje aniambie tu kuwa ni demu wake ambaye atachana naye mwezi ujao….hee I was like seriously dudeeee? Jama akanijibu Mdumbe me nimeoa sasa niwe naye zaidi ya mwezi wa nini? Siwezi hata panga naye kuwa tununue kiwanja coz sina future naye….heeee nikakunja nne like kitu furani amazing vile..kumbe ndio ilivyo? Sound new to me….kilichonishangaza eti demu naye anajua ni part time? Duuu kwa hiyo kama zile ndoa za mkataba au siyo?…Du wanaume tumuogope Mungu aiseeee ...
baada ya hapo nikaja zangu huku pande za baharini akili ikae vizuri..nikaagiza kitu cha bata nikasema nikae na vijana kidogo….
Very interesting aiseeee..sema nini unajua ..wanawake muda mwingine mna tia aibu…u know what? Take this…boys gossip a lot aisee..tena ukikuta ua dating a boy…ndio salaleeeeh yaaani wakikutana wanapiga story they gossip abt girls….wakati mie nakuwa mambo haya hayakuwepo saiziiii me mzeee kidogo na upala unaninyemelea….kwa hiyo mara chache kusikia mambo ya vijana..sema nini juzi ndio nimejua vijana wenu hawa mnaowadate “they called boys” aisee mpaka niliogopa mpaka naandika hapa lol nimeamua niwape free advice aiseee
ukitendwa unafuta vumbi unasonga mbele tatizo wengi wakitendwa lawama wanapeleka zaidi kwa mtendaji hajichunguzi yeye wapi alikosea ili uhusiano unaofata asitendwe….wale vijana wakaanza piga story kumbe katika lile group wanalopiga story vijana wanne kati ya watano wametembea na huyo dada..wakanza kusimulia sasa..huyu anasema hiki Yule hiki..huyu ana ,mwingine anamwambia umesahau kuwa anavyofanyaga vile..yaani mtu mzima ilibidi niiache konyagi yangu nisepe maana nilihisi kama wanamvua nguo mwanangu aisee
Wanawake acheni kuwa public toilets ..eti mjisitiri muwape heshima mama zenu na ndugu zenu sio mtaa mzima wanakujua maungo yako yaani hata uvae baibui ni kama uko uchi wa mnyama..jitofautisheni na wanyama,,Mungu amempa binadamu staha..kumbukeni chochote kinachotokea katika jamii hiii ni aibu ya mwanamke….Ogopen kudate boys…mwisho wa siku watawarecord na kuwapiga picha wasimbaze kwenye internet…kumbukeni INTERNET NEVER FORGET ..WAOGOPENI WANAUME WANAOWASEMA,,MUWE NA VIFUA SIO KILA JAMBO UNALIWEKA WAZI TU KWA HAO BOYS WENU at the end wanatumia ngao ya kuwaumizia ..
WANAUME TUWE NA STAHA KWA WANAWAKE…HIVYO MNAVYOWADHALILISHA NDIVYO DADA ZENU PIA WATADHALILISHWA.WAHESHIMUNI DADA ZENU KAMA MNVYOTAKA DADA NA MAMA ZENU WAHESIMIWE..KAMA ULISHAWAHI KUFANYA KITU KAMA HICHO ATLEAST MAKE 2015 IS A YEAR TO REGRET AND FANYA TOBA ILI CHOZI LA MWANAMKE LISIJE KUPA LAANA

NIWATAKIENI KILA LA KHERI KATIKA UJENZI WA TAIFA.KHERI YA MWAKA MPYA HIZI NI SALAAM ZANGU KWENU…

Hizi ni salamu zako mjombaeee! ndio maana mie sidate na mtu wa mtaani kiivyo zangu ni mikoaniii
 
Back
Top Bottom