Kwanini wanawake huwa hawapendani??

Vip nyie wanaume mnapendana?
Mfyuuuuuuu tangu lini mtu ampende adui yake?

Akiniheshimu namuheshimu na kumpenda akinibinulia midomo namsonya kwa herufi kubwa
 
Kisu kimegusa mfupa.... , Nawashangaa wanaomshambulia mleta mada kwani mtu kuwa engineer basi anatengwa na jamii kwa hiyo hawezi jua mambo yanayoendelea mitaani? yeye anaishi wapi? hewani? Si anaishi humu humu duniani na hayo mambo anayoyasema si yapo kweli? ukweli ndo huo wanawake wengi hawapendani kabisa
 
Toeni mapovu weeee....
Mkimaliza mnijibu kwanini hampendani, mna husuda baina yenu, kubyedana midomo kama Nguchiro.
Ila na ww una shida yako, hebu iweke wazi nasi ndo tukujibu ulichouliza maana mimi ckuelew kabisa au mwenzetu ni half/half??
 
Kiukweri wanawake wapenda kusaidiana pedi au kumsitili mwenzio kwakanga tu kama ameipata dharula. Hugo ndio upendo Wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…