Ilikuwa zamani sio leo
Kwa nini wasijitambulishe kwa jina la mwanamke?maana maaandiko yanasema mwanaume ndiye ataondoka kwa baba na mama yake na kuambatana na mkewe?"....Nanyi mmekuwa mwili mmoja....." . Chukulia mfano Wewe unaitwa Bwana makolola, ktk utambulisho ukiwa na Mkeo mtatambulishwa kama Bwana na Bibi makolola; na hata mkeo akiwa pekee yake ataitwa Bibi/Mrs makolola.
Sasa katika mazingira hayo akibaki na ubini wake, yaani jina la baba, atatambulishwa kama Bibi/Mrs (jina la baba yake), haitapendeza na kuleta picha nzuri coz yeye ni mtoto na si mke kwa baba yake.
Jina la baba yake atalitumia mama yake. sijui umenipata?
Mi naitwa jina langu milele
Mwanaume ndio kiongozi wa familia, ndio kichwa Bible imesema.... mada imeisha. uliza lingine
Ilikuwa zamani sio leo
Mi naitwa jina langu milele
"....Nanyi mmekuwa mwili mmoja....." . Chukulia mfano Wewe unaitwa Bwana makolola, ktk utambulisho ukiwa na Mkeo mtatambulishwa kama Bwana na Bibi makolola; na hata mkeo akiwa pekee yake ataitwa Bibi/Mrs makolola.
Sasa katika mazingira hayo akibaki na ubini wake, yaani jina la baba, atatambulishwa kama Bibi/Mrs (jina la baba yake), haitapendeza na kuleta picha nzuri coz yeye ni mtoto na si mke kwa baba yake.
Jina la baba yake atalitumia mama yake. sijui umenipata?
Hillary clinton. Michelle obama,Annah Mkapa,Tunu pinda, nk walikua wanaitwa zamani ila sasa hawaitwi sio? wanawake wa humu mko desperate sana.