Kwanini wanawake hupenda kuzira chakula?

Kwanini wanawake hupenda kuzira chakula?

Mwagitho

Senior Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
111
Reaction score
38
Hii ni kalibu wote toka enzi za bibi,mama,dada mpaka wake zetu huwa inatoka na nini tofauti na wanaume
 
Kuanzia mada mpaka habari yenyewe sijaelewa
 
Chakula gani mkuu!? Hivi vya mchana au kile cha usiku?
 
Ufahamu,ufupisho. Nahisi haya maneno mawili ni muhimu sana kwako kuyajua kwwa mapana yake kayafanyie kazi alafu urudi.
 
Hii ni kalibu wote toka enzi za bibi,mama,dada mpaka wake zetu huwa inatoka na nini tofauti na wanaume
Wanakuwa wameshiba ndugu yangu,wanapopika unakuta anaonja kisahani kizima hapo akinywa na maji anakuwa tayari ameshiba ila wanakuwa wanataka tention tu ya mwanaume,na ukifuatilia wanasusa nyakati za jioni(dinner)
why wasisuse mchana ua asubuhi!
 
asipotafuta tention kwako akatafute wapi sasa?
 
muwe mnatusaidia kupika siku mojamoja uone kama tunazira kukaa jikoni siku nzima unakinai chakula ujue
Kwahiyo unakubali kuwa huwa mnataka tension tu ya mwanaume ila kiuhalisia mnakuwa mmeshiba au inakuwa technique ya kutaka kumnyima na kile chakula kitakatifu?
 
Back
Top Bottom