shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Kwahiyo unakubali kuwa huwa mnataka tension tu ya mwanaume ila kiuhalisia mnakuwa mmeshiba au inakuwa technique ya kutaka kumnyima na kile chakula kitakatifu?
mara nyingine mtu kashiba kweli but kunyimana chakula cha usiku sidhani kama ni kutafuta tension kutakuwa na shida hapo