Zaidi ya mara kadhaa ya relation ship zangu nimegundua Wanawake ndo watu wa kwanza kupinga matumizi ya mpira kwa kisingizio cha kuwaumiza. Na mara nyingi Mwanaume asipo kuwa na msimamo katika matumizi ya condom basi matumizi huishia hapo Na kuwa kavu kavu, kikubwa wanachojali ni Mimba tu so wakiwa wapo kwenye safe days wanaona wapo Safe kwa kila kitu
GT hasa Wadada naomba mje mdadavue hili na kutupa majibu

Hebu nianze na wewe kwanza unajua aina ngapi za condom???!!!
Aina ngapi ya rubber hutumika kutengenezea condom???!!
Unajua aina ngapi za mafuta yanayotumika kulainishia condom? ??!!!
Je unajua mzio na visababishi vyake???!!!
Unajua texture ngapi za condom na kwa nini zipo hivyo???!!!!
Je unajua joto ambalo ni salama kwa kutunzia condom???!!
Au kushutumu wanawake tu ilhali hata sie baadhi yetu tuko shallow sana juu ya condom!!!
Condom ni kitu gani. sijawahi kuiona kwenye menu ya hoteli au bar.

Mkuu unajua unaweza kukuta kakutana na vimalaya viwili vitatu vilivyojichokea na maisha, ye akakonkludi wanawake wengi wako hivyo.
baki njia kuu, epuka michepuko
Wanaogopa mimba tu hawa wehu
Halafu anachukulia kama ndio ukweli mkuu na wa pekee chini ya jua!!!!!!
Mbaya zaid yeye mmoja kapiga hizo gemu bila kinga halafu anawalaumu hao multiple concurrent partners ambao yaweza kuwa kote hutumia kinga isipokuwa kwake yeye tu!!!!!
Duh mkuu heshima ni kitu cha bure. Hawa ndio mama zetu.
Waliosema nyani haoni kundule hawakukosea.