Kwanini wanawake hawakubali kuachwa.

Kwanini wanawake hawakubali kuachwa.

Kuachwa ni shughuli pevu
Afadhali uache kuliko uachwe
 
Mim nikiachwa ntaomba msamah mpaka 2rudiane thn nakuvutia pumzi nikumimine
 
looo papizo! utani gani huuu!:smile-big:

Hahahahaha nikajuwa umewaza nitakuacha ndio maana ikabidi nikuambiee tu na kule vipi sasa tutaenda kushangaa lakini??:smile-big::smile-big:
 
tatizo au niseme uzuri..wanawake huwa wanajikabidhi kwa wenzi wao wazima wazima, in other words wanawake (walio wengi) ni watu wa ku-settle down. sasa mtu keshaamua kuwa na Juma mara huyo Juma amwambie to ze left inakuwa ngumu ku-accept sababu anakuwa ameshajipatia kidume chake cha mbegu. na wanaume walio wengi hawatambui mwanamke mzuri anapokuja, sababu wameshazoea kula na kutupa. na wengi wao wanaishia kuchagua koroma....
 
Back
Top Bottom