Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Mar 1, 2014 #21 Mwanamke mzuri kwa mwanaume ni mama yake tu!!!!!!!!Hizo habari za waganga nawaachia wengine
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Mar 1, 2014 #22 HARUFU said: Hapana inatokea, kama unavyoona wimbo fulani huwa unakukumbusha tukio fulani Mfano mimi kuna wimbo wa TATYANA ALI unaitwa EVERYWHERE kwa kweli huwa unanikumbusha mbali sana Click to expand... haya bana!! Endelea kufurahia!!
HARUFU said: Hapana inatokea, kama unavyoona wimbo fulani huwa unakukumbusha tukio fulani Mfano mimi kuna wimbo wa TATYANA ALI unaitwa EVERYWHERE kwa kweli huwa unanikumbusha mbali sana Click to expand... haya bana!! Endelea kufurahia!!
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,175 Reaction score 34,410 Mar 1, 2014 #23 Which women do you have in mind?
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Mar 1, 2014 #24 Munkari said: haya bana!! Endelea kufurahia!! Click to expand... Yaani hutonitoka wewe nakuambia tena Si unaona nimekupa mfano wa kibao cha bibie TATYANA ALI Halafu kuna kibao kingine cha TATYANA ALI pia kinaitwa IF YOU ONLY KNEW Nacho kinanipeleka kule kule yaani vibao viwili vinanikumbusha tukio moja
Munkari said: haya bana!! Endelea kufurahia!! Click to expand... Yaani hutonitoka wewe nakuambia tena Si unaona nimekupa mfano wa kibao cha bibie TATYANA ALI Halafu kuna kibao kingine cha TATYANA ALI pia kinaitwa IF YOU ONLY KNEW Nacho kinanipeleka kule kule yaani vibao viwili vinanikumbusha tukio moja