Wanawake wamekuwa hawajiamini katika mahusiano na ndoa zao na muda mwingi huhisi wanaibiwa wanaume, ukienda kwa waganga wa kienyeji wanawake wamejazana kutafuta madawa ya kuwatuliza wanaume hasa wajukuu zangu wahaya, wanaume tumekula mengi jamani,kwanini viumbe hawa hawajiamini kama sisi wanaume au ni kweli na wanaume tumezidi ukicheche ndo maana wenzetu roho juu.