abdalah Kelenge
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 266
- 203
nani kakudanganya eti kuwa single ndio yanaisha, bora hata ya kuwa na huyo anaemboa 10k, kuliko kuwa singleKhaa! Kila kukicha vilio vyenu ni kwenye pesa tu lol. Jifunzeni kuwa single yote haya yatakwisha. [emoji124] [emoji124]
Jiunge kwenye CHAPUTA,bajeti yako kwa mwezi haitazidi 2,000/= lakini ukitaka mapenzi toka kwa mwanamke lazima ugharamie.Wakuu ni Baada ya kudate na kibinti cha jirani na home sasa kila siku anataka pesa si chini ya 10000 nikimagine hali ilivyokaza kama kiuno cha fisi nachizi imekuwa kero sana mtu anaona hali halisi lakini anakusanya mapato namna hii sijui la kufanya nisaidieni Idea nichanganye na zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo basi hampaswi kulalamika mkuu.nani kakudanganya eti kuwa single ndio yanaisha, bora hata ya kuwa na huyo anaemboa 10k, kuliko kuwa single
siko kwenye kundi la kulalamika, ukiomba nakupa tu. mambo mengine tunajitakia wenyewe isitoshe jaama anajifanya dangote mtaani kwao, matkeo yake anakuja kulia hukuHivyo basi hampaswi kulalamika mkuu.
Mmmmmm atoe tu hakuna namnasiko kwenye kundi la kulalamika, ukiomba nakupa tu. mambo mengine tunajitakia wenyewe isitoshe jaama anajifanya dangote mtaani kwao, matkeo yake anakuja kulia huku
Alafu eti ni elf 10 tu, huyo akikutana na wa kwetu huku anaweza kupiga yowe
Na hiyo ndio sababu mkuusiko kwenye kundi la kulalamika, ukiomba nakupa tu. mambo mengine tunajitakia wenyewe isitoshe jaama anajifanya dangote mtaani kwao, matkeo yake anakuja kulia huku
Ndio maana yake. nikutakie usiku mwema, ngoja nikaianze weekend sasaNa hiyo ndio sababu mkuu
Hahaa.na hizi nyuzi za hivi ni nyingi kweli.Khaa! Kila kukicha vilio vyenu ni kwenye pesa tu lol. Jifunzeni kuwa single yote haya yatakwisha. [emoji124] [emoji124]