Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 243
Matusi hayo mjomba, hebu angalia waganga wa asili walivyoongezeka, kila mtu siku hizi anatibu nguvu za kiume, kusoma hujui hata kuangalia picha?Umewapimaje jomba?
hivi kuridhika kwa mwanamke kukoje? Wanawake wenyewe ndio wanaosababisha hili jambo maana likimtokea mwanaume wanaanza kumlaumu na hivyo kupelekea mwanaume kushindwa kujiamini. Tendo la ndoa ni pande zote mbili kwa mwanamke na mwanaume.
Wanataka kulidhishwa tu bali hataki kushiriki ili huyu mwanaume amridhishe. Mwanamke unakuta analala kama gogo huku emejificha uso eti anaona aibu, ukimwambia chezea machine anaanza kuchekacheka halafu akiishika anaanza kusema eti mbona kadogo. Maswali gani ya kipuuzi kama hayo kwa mwanandoa wako.

heri lakini msituzeeshe bure kwa kutubinuabinua usiku kucha.dkk 2 watu tunalala kwa raha hadi mwezi uishe ndo kingine tena
kaka umeisoma kwa umakini.... naweza hata kukupa vitu vya asili vya kutumia kuliko kukimbilia kwa waganga waliojaa mitaani.Ungetoa na nini kifanyike ungekuwa umesaidia sana,zaidi hapa naona na wewe unalalamika tu
MadamX kizazi bado kipo ila maarifa ndiyo tunayozidiana.Kizazi cha waume wa mbegu kiliisha zamani, wasasa mauzauza tu.
Kuna kitu kinanishangaza sana, siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakifurika kwa wataalam wa madawa ya asili kwa ajili ya kuweza kudumisha uwezo wao wa kitandani. Inadaiwa kuwa wanaume hao wakienda raundi moja hawawezi kurudia ile ya pili na hata wenye uwezo wa kurudia huwachukuwa muda mrefu sana, kama raundi ya kwanza iliisha saa tano usiku basi ya pili inaweza kurudiwa saa 12 asubuhi.
Tatizo kubwa ni kwamba wanaume wengi huwaandaa wake zao kwa muda mchache au hawajui kabisa jinsi ya kuwaandaa wake zao kwa ajili ya tendo la ndoa, wengi wanaparamia kama vile wanavyoparamia baiskeli, pia wanaume hao hawajui kufuata hatua za kujizuia kuweza kuwahi 'kufikisha mzigo melini' na hatimaye kuwafanya wawe wa kwanza kufikisha mzigo na kushindwa kuwaridhisha wake zao.
Inadaiwa kuwa tatizo hili linatokana na wanaume wengi kuacha kula vyakula vya asili vinavyoweza kuwafanya wawe na nguvu muda wote, pia inadaiwa kuwa wanaume wengi hawafanyi mazoezi ambayo yangeweza kuwafanya wawe vizuri kitandani.
Wengi wa wanaume wanapokwenda kwa wataalam wa madawa ya asili wanakuwa hawajui tatizo lao hasa, ndio maana wapo wanaume wanaokimbilia kwenda kukuza ukubwa wa maumbile kwa kuamini kuwa majogoo yao yakiwa makubwa wanaweza kuwaridhisha wake zao, kitu ambacho ni uongo mkubwa.
Hawajui kuwa hata kama siraha zao ni ndogo wanaweza kuwafanya wake zao watosheke kwa kuwafanyia utundu na kujua jinsi ya kujizuia ili wasiwahishe mzigo bandarini kabla ya wake zao, wanashindwa kuwafanya wake zao wawahi kufikisha mzigo kabla yao.
Tatizo hili limesababisha wanaume wengi kudharauliwa na wake zao hata ndoa nyingi kuvunjika.
unajidanganya hawa jamaa wakiwa nyumba ndogo ni mwendo wa bao 5-6 kwa wife 1-0.heri lakini msituzeeshe bure kwa kutubinuabinua usiku kucha.dkk 2 watu tunalala kwa raha hadi mwezi uishe ndo kingine tena