Kwanini wanaume wengi siku hizi hawapendi kuoa…………?

Kwanini wanaume wengi siku hizi hawapendi kuoa…………?

KWANINI WANAUME WENGI SIKU HIZI HAWAPENDI KUOA?



Kumekuwa na maswali yasiyo na majibu miongoni mwa jamii kwamba imekuaje vijana wa kiume wamekuwa ni waongo sana hasa linapokuja swala la kuoa?

Kwa kadiri siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo idadi ya wanaume wanaoogopa kuoa inazidi kuongezeka. Utakuta wapenzi wanaambiana kwamba wanapendana na kuahidiana kuwa wataoana, lakini kitakachotokea baada ya hapo ni mwanaume kuanza kupiga chenga kwa visingizio lukuki.
Kwa nini hali hiyo hutokea?

Ukweli ni kwamba hakuna jibu la moja kwa moja juu ya tatizo hilo, lakini yapo mambo ambayo yanaweza kutupa angalau tafakuri. Hebu tujadili......
Wengi hasa wa Dar wanaogopa majukumu, wanataka kulelewa wakati huo hawataki kufungwa wanataka kuwa huru.
Pili, wanawake wanadhani ngono zitawateka wanaume wawaoe kumbe wanalipa ada kabla hawajasajiliwa shuleni[emoji1] [emoji1] [emoji87]
 
Apa mnatumia data gan , maana watu kila weekend harus we pita kumbi nyingi utaona hlo, suala la watu kuoana haliez kupungua wala kuisha
 
Back
Top Bottom