Hata mimi huwa napata malalamiko sana but huwa naona kawaida,mie nimewasha zangu feni mpaka mwisho na nipo nomo yeye anasema ataganda!!
May be n maswala ya kibailojia, mie sisikii baridi hovvyo hovyo mda wote nahisi joto yani ukikaa na mimi utaganda kweli!!!