Ah kumbe utabiri tayari upo....wacha niombe uhai nione hili likitimia...Mbona wanawake wana lalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?
Chukuweni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma sigle mitaani
Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana
Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?
Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke apo apo hivo unakuwa mume
Na bado
Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
Mada ya vijana hiiNasoma comments
HakikaMada ya vijana hii
Hivi wanawake waliozalishwa nao ni sahihi kuwaita 'single'?Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?
Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma single mitaani
Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana
Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?
Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado
Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
Kwa nini aoe wakati anapata kila ambacho angetakiwa kukipata ndani ya ndoa kwa muda wowote ule anapohitaji? Aina ya maisha tunayoishi sasa hivi imeondoa umaana wa ndoa.....! Hao ambao hawajaoa wanapata mahitaji yote ambayo yanapatikana ndani ya ndoa.Sasa aoe kwa lipi?Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?
Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma single mitaani
Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana
Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?
Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado
Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
Na Muhtasari wa kikao ninao hapa mweshimiwa mwenyekiti[emoji4][emoji120][emoji116]Dah
Hivi kwani mmesahau tulivyo kubaliana siku ya kikao cha mwisho..!!??