Kwanini wanaume wengi hawaoi siku hizi?

Kwanini wanaume wengi hawaoi siku hizi?

Sababu ya mfumo wa sheria za makafiri na mabeberu tuliorithi, feminists luciferians wana lengo la kuua ndoa na wanawake watawale wanaume. Mwanaume akioa hata akitukanwa na mkewe akimzaba hata kofi moja ni jela kwa gender violence au domestic abuse. Ukiamua kumuacha unaamriwa kumlipa hela ya matunzo na chakula elimu nk yeye na watoto umlishe mke hata kama amesoma au ana kazi, na mkiachana mali mgawane za kwako ila za mwanamke ni zake!!!Nani anataka mateso hayo na ukizingatia sasa machangudoa wameruhusiwa kuuza ngono wanaume wanaamua kumaliza haja huko. Suluhisho turudi ktk sheria za dini au mila zetu waafrika ndiyo tutaoa tena kwa wingi kama zamani.


Ni Kwasababu hizo wewe huoi ??!!
 
Back
Top Bottom