Kwanini wanaume wengi hawaoi siku hizi?

Kwanini wanaume wengi hawaoi siku hizi?

The Butcher

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
348
Reaction score
495
Aisee! Hii inakuja kujibu kichwa kinavyosema hapo juu.. imejitosheleza kabisaaa.. samahan ikobkwenye lugha ya kikristo but natumaini

mtaelewa .
20210504_134632.jpg


Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
sasa kama wanaume hawaoi huko kanisani kila jumamosi wanaooa ni akina nani au wanawake mnajioa wenyewe ?

au akina igutu ndio wanaooa ?
Matatizo ya ku copy and paste vitu vya ughaibuni.

Quote inaongelea vitu ambavyo Bongo ni nadra kuvikuta.

Kitabu kinaandikwa mahsusi kwa Marekani na sheria zao, Wabongo wana copy paste mazima.

Na sisi tujaribu kuandika vitu vyetu jamani.
 
Kwasababu wewe hujaolewa ndio unatuletea mambo haya???!!
 
Hii inawahusu hao wenye hiyo lugha ila sio sisi waswahili.
 
Aisee hii inakuja kujibu kichwa kinavyosema hapo juu.. imejitosheleza kabisaaa.. samahan ikobkwenye lugha ya kikristo but natumaini mtaelewa .View attachment 1772990

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Mkuu mwanamke ndo anaamua ndoa iwe na thamani au isiwe na thamani.

Kwenye Ndoa kitu kikubwa mtashare ambacho huwezi kushare na mwingine ni tendo la ndoa

Sasa hhivi wanawake wanawake wanagawa tendo ambalo ni msingi wa ndoa,wanaume wanapata maziwa hawaoni haja ya kufuga ng'ombe
 
Mkuu mwanamke ndo anaamua ndoa iwe na thamani au isiwe na thamani.

Kwenye Ndoa kitu kikubwa mtashare ambacho huwezi kushare na mwingine ni tendo la ndoa

Sasa hhivi wanawake wanawake wanagawa tendo ambalo ni msingi wa ndoa,wanaume wanapata maziwa hawaoni haja ya kufuga ng'ombe
Umeiweka kitaalam sana mzee.. wengi wanalea watoto sio wao sikuiz

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Samahani, sikujua kama wewe ni dume kama mimi, kumbuka unapoleta thread kama hii uwe unajitambulisha mapema basii !!![emoji1787]
Nakubali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]
 
Sababu ya mfumo wa sheria za makafiri na mabeberu tuliorithi, feminists luciferians wana lengo la kuua ndoa na wanawake watawale wanaume. Mwanaume akioa hata akitukanwa na mkewe akimzaba hata kofi moja ni jela kwa gender violence au domestic abuse.

Ukiamua kumuacha unaamriwa kumlipa hela ya matunzo na chakula elimu nk yeye na watoto umlishe mke hata kama amesoma au ana kazi, na mkiachana mali mgawane za kwako ila za mwanamke ni zake.

Nani anataka mateso hayo na ukizingatia sasa machangudoa wameruhusiwa kuuza ngono wanaume wanaamua kumaliza haja huko. Suluhisho turudi ktk sheria za dini au mila zetu waafrika ndiyo tutaoa tena kwa wingi kama zamani.
 
Sababu ya mfumo wa sheria za makafiri na mabeberu tuliorithi, feminists luciferians wana lengo la kuua ndoa na wanawake watawale wanaume. Mwanaume akioa hata akitukanwa na mkewe akimzaba hata kofi moja ni jela kwa gender violence au domestic abuse. Ukiamua kumuacha unaamriwa kumlipa hela ya matunzo na chakula elimu nk yeye na watoto umlishe mke hata kama amesoma au ana kazi, na mkiachana mali mgawane za kwako ila za mwanamke ni zake!!!Nani anataka mateso hayo na ukizingatia sasa machangudoa wameruhusiwa kuuza ngono wanaume wanaamua kumaliza haja huko. Suluhisho turudi ktk sheria za dini au mila zetu waafrika ndiyo tutaoa tena kwa wingi kama zamani.
This is what i was talking about asante kwa kyielezea..

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom