Kayaula Musa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 694
- 719
Tatizo sio kujishusha au sio kwamba hatujui kama tunakosea tatizo namna yakutukosea ndotabu hata leo nimekosana namtu huwezi kunikosoa kwaubabe
Okay,okay,Jamani hivi ni kwa nini wanaume pindi wanapowakosea wanawake kwenye mahusiano wanakuwa wazito kujishusha? Hii inawaumiza sana wanawake kwani huwapenda wapenzi wao.
Mdada ikimtokea hali hii, je, ajiahushe, akaushe au afanye nini?
Ushauri wenu wana JF.
simple mwanaume ndio hulka yake ni pride yake kama abayo mwanamke aliumbwa kutumia maneno au kuogea sanaJamani hivi ni kwa nini wanaume pindi wanapowakosea wanawake kwenye mahusiano wanakuwa wazito kujishusha? Hii inawaumiza sana wanawake kwani huwapenda wapenzi wao.
Mdada ikimtokea hali hii, je, ajiahushe, akaushe au afanye nini?
Ushauri wenu wana JF.
Wanaume wapi wangapi na wa wapi na katika nini na kwanini wajishushe ili iweje kama itakuwa?Jamani hivi ni kwa nini wanaume pindi wanapowakosea wanawake kwenye mahusiano wanakuwa wazito kujishusha? Hii inawaumiza sana wanawake kwani huwapenda wapenzi wao.
Mdada ikimtokea hali hii, je, ajiahushe, akaushe au afanye nini?
Ushauri wenu wana JF.