GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,734
- 109,316
Hakuna cha kurogwa wala nini.
Uchawi ni mambo ya kufikirika tu.
Kwenye uhalisia hayapo.
Hakuna uchawi, period!Labda mwenzetu husomi vitabu hasa vya dini au unasoma Ila huelewi uchawi upo enzi na enzi na unaweza kulogwa ukatafuta tiba ukakosa kikubwa ni kuamini Mungu
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Kupitia comment zako nimegundua we ni mchawi maana wachawi ndo hua na tabia ya kukanusha uchawi na kujifanya hawaujui wala haupo kabisa bt pleas usinirogeHakuna cha kurogwa wala nini.
Uchawi ni mambo ya kufikirika tu.
Kwenye uhalisia hayapo.
Kupitia comment zako nimegundua we ni mchawi maana wachawi ndo hua na tabia ya kukanusha uchawi na kujifanya hawaujui wala haupo kabisa bt pleas usiniroge
mungu ni mwema atanilinda, wachawi hua wajanja sana wanapokua na wanajamii wakawaida huigiza hawaamin uchawi ili wapate kudadisi watu wakawaida wanaijuaje hiyo tasnia, inshort hawa watu wanajua igiza kama maafisa wa usalama.Utajarogwa
mungu ni mwema atanilinda, wachawi hua wajanja sana wanapokua na wanajamii wakawaida huigiza hawaamin uchawi ili wapate kudadisi watu wakawaida wanaijuaje hiyo tasnia, inshort hawa watu wanajua igiza kama maafisa wa usalama.
ukitaka kujua, angalia wanavojiweka wanaosemekana kuwa ni wachawi, yaani wengi wao watakuambia kuamini yasiyoonekana ni kupoteza mda maana hayana ushahidi.We haya umeyajuaje mkuu
Mkuu,jitoe utumwani kabla hujachelewa,kwanini uishi jela? hiyo ni jela,kama hataki kubadilika tupa kule,Maisha ni mafupi sana,kwanini uishi kwa kuteseka? Wake up and live.Dah mkuu umenitia uchungu hasa,mm ni mhanga wa hili suala.
Hilo sio limerogeka brethren,hilo limependa hadi halioni wala kusikia...Inasikitisha kweli kweli yaani Mwanaume analala Saa 7 Usiku na Kuamka Saa 9 Usiku ili aanze Kujiandaa na kuitafuta Vingunguti Machinjioni halafu bado kila akipata tu Mshahara wake anaupeleka wote kwa Mkewe na anapangiwa Bajeti ya Pesa yake anayotakiwa kuwa nayo Mfukoni mwake ama kwa Siku au kwa Wiki.
Mwanaume kwa mwaka mzima Ndugu zake wakija Kumtembelea na Kulala Kwake basi ni mara moja tu na wakichelewa Kuondoka anawahi Kuwakatia Tiketi zao waondoke. Lakini Ndugu za Mwanamke Ukoo mzima unaweza ukafululiza kuja Kwake na hata ukitaka wakitaka Kuondoka utaona Mwanaume anawapigia Magoti waendelee Kubakia hapo Kwake.
Inatia Huruma kweli kweli Mwanaume unateseka Kumtafutia Ugali Mkeo halafu bado tu ukirudi Nyumbani anakufokea kama Mtoto Mdogo na hata Siku ikitokea tu umeiba Hela kwa Bosi wako na ukamnunulia Zawadi ukimpelekea na kudhani ataifurahia na Kukushukuru akiipokea na kama hakuipenda atakuuliza Kidharau kuwa hii Zawadi umeokota au umepewa Msaada tu na Mtu?
Yaani pamoja na Matukio yote haya ya Kusikitisha bado ukitaka Kuliokoa 'Lijitu' linakuwa 'Libishi' na hata Kukutishia 'Kukupiga/Kukudhuru' kabisa.