Kwanini wanaume waliooa wanapenda kuficha simu zao?

Kwanini wanaume waliooa wanapenda kuficha simu zao?

moniccca

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,383
Reaction score
3,287
Wanaume wengi walio oa wanapenda kuficha simu zao wawapo na wake zao nyumbani au popote wanapokuwa pamoja.

Wengi hudiriki hata kwenda nayo bafuni, wengine saa ya kulala hutoa sauti na kizificha.

Simu ikiita akiwa mbali nayo utaona speed atayotoka nayo kuikimbilia

Najiuliza hii ni kwanini ? Kama ni mchepuko kwann usiuambie usikupigie simu usiku?
 
Mbona hata nyie wanawake mnaficha cm sana,na kueka ma strong passwords!
 
Ukitaka kuishi maisha marefu acha kufuatilia simu ya mume . Ikiita jifanye hujasikia.
Nakumbuka miaka ya zamani wife aliomba kupiga simu, kupitia simu yangu nikampa aivyomaliza akajifanya anapekuwa sms hakuzikuta, maana majina ni yakiume lakini
 
Wanaume wengi walio oa wanapenda kuficha simu zao wawapo na wake zao nyumbani au popote wanapokuwa pamoja.

Wengi hudiriki hata kwenda nayo bafuni, wengine saa ya kulala hutoa sauti na kizificha.

Simu ikiita akiwa mbali nayo utaona speed atayotoka nayo kuikimbilia

Najiuliza hii ni kwanini ? Kama ni mchepuko kwann usiuambie usikupigie simu usiku?
Nakushauri upunguze wivu mtaishi vizuri na mwenza wako usipende kushika simu yake kama hajakupa utaishia kupata stress bure
 
Usiombe uko bafuni harafu simu uisikie inaita na mkeo unajua ataenda kuisogelea,mambo huwa hivi
IMG_20180911_193333.JPG
 
Back
Top Bottom