Kwanini wanaume wako hivi?

Kwanini wanaume wako hivi?

Nyie wenyewe si ndo chanzo?! Mnasemaga mapenzi bila uongo hayaendi. Mkidanganywa tena, mnalalamika. Ukweli,ndo mwiko kwenu.

Mnatakaje sasa!

Basi siku nyingine mkienda kusex omba msaada wa kondom hapa hapa 😂😂😂😂😂. Japo na zenyewe,ni yale yale. Badhi yenu,mnasema zinawaumiza, wengine, eti mafuta yake yana harufu mbaya,eti bora kavu kavu.
Nyie viumbe bwana eh! Acha yawakute. Yaani,mnaogopa mimba kuliko HIV!
Ukishakuwa profeshino,au tuseme tu limbukeni la ngono,kwanza utaongozwa na nyege,hufikilii kitakachofata badae
 
Mnasex wote , mnaambiana sex ikiketa shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu.

Why mpo hivi??
Niwaulize kidogo tu: Kwani mlipokuwa mnaenda kusex mlikumbuka kwanza kujiwekea malengo??? (ya muda mfupi, muda wakati na ya muda mrefu) au mlikwenda kumalizana usongo.
 
Back
Top Bottom