Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,754
Eti waungwana hivi ni kwa nini wanaume wa kichaga hawako romantic kabisaaaa?


......romantic peleka kwa wanaume wa Dar!Hongera kwa kudate na wanaume wengi.Naongea kwa uzoefu sababu nimedate nao sana tu but daaah hawako romantic kabisaa
Embu fafanua maana yako ya kuwa romantic...maana isije kuwa kukupa my hard-earned money is your perception of me being romanticEti waungwana hivi ni kwa nini wanaume wa kichaga hawako romantic kabisaaaa?

Wanaogopa UKIMWIEti waungwana hivi ni kwa nini wanaume wa kichaga hawako romantic kabisaaaa?
Njoo kwangu sisi wakinga tuko na mapesa mingi afu tuko romanticNaongea kwa uzoefu sababu nimedate nao sana tu but daaah hawako romantic kabisaa
majukumu tu ila yuko salama kabisaNiambie kwanza STUNTER kapotelea wapi!