Kwanini wanaume wa JF wanatamani sana kuoa?

Mwanamke akisema natafuta mume inakua kama anajishushia heshima. Lakini si kweli. Ila ndio wametawaliwa na kujishitukia huko.

Ila mwanamme kusema natafuta mke ni kawaida tu yani, fresh kabisa.
Nikiweka bandiko natafuta mume...wataanzo ooh jua la jioni..Mara oooh huko mtaani huonekani..

Ndo maana Nashindwa weka bandiko hapa...au nieendee Tinder
 
I

I wish wangejua mwanamke kua kichwa si vibaya, i wish wangejua upendo nao una nguvu kwa hiyo mwanamke akitongoza mwanaume si malaya
@scars tukifuata mila yako ya Athiest....
Tunafurumushwa ..nianze kusema Mwanamke Ni kichwa Cha familia...
Najipenda sana
 
Huu uzi naona unauhusiano wa moja kwa moja na wewe maana sio kwa kuwa active hivo
Jamani... Huu ndo mtandao pekee ambao nipo free kucomment... Ndo maana unaona hata shughuli sijaalikwa...kijora nishashona.
 
...baba la baba...TU sha match teyari
Hiyo Match n Lini Mbona Sijaiona Jamani
20210113_104037.jpg


Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
I

I wish wangejua mwanamke kua kichwa si vibaya, i wish wangejua upendo nao una nguvu kwa hiyo mwanamke akitongoza mwanaume si malaya
Kabisa ni kweli,
Mimi hua nadhani wanajijua tabia zao si nzuri na wao ni mizigo ndio maana husubir ujilete mwenyewe ili akutwike mizigo yake vizuri.

But kuna some Ladies wako poa sana, yani akikupenda yuko radhi ajiweke karbu na wewe hadi akupate.
 
Nikiweka bandiko natafuta mume...wataanzo ooh jua la jioni..Mara oooh huko mtaani huonekani..

Ndo maana Nashindwa weka bandiko hapa...au nieendee Tinder
Na watakao kusema hivo ndio wale wale ambao kila siku ni kama maswaiba kwako. 😂😂

But life ni kujikubali tu, usi pretend ili ufanane na watu fulani
 
Well why not? If I were a man I would definitely want to have my own woman, to be my wife and to have my little babies.

A woman I can go back home to for comfort.... At the end of a long long day huddling for my family.

Sijaona tatizo hapo la mtu kutaka kuwa na mwenzie Kama Ana Nia njema kabisa.
 
Kila siku wanahadithiana hadithi za usaliti na magunia mawili ya mkaa, mshawasha wa kuoa utoke wapi?
 
Wangine wamechoka sana kusex na wanawake wengi, hivo akioa anaachana na mambo hayo kwasabab anakua na mmoja Wa uhakika.
Kikubwa wanatamani maisha ya Ndoa
Wengine ni majaribu tu
Kuna Mwanaume anachoka kusex na wanawake wengi?

Kama ana uwezo wa kuwa nao wengi, kwanini atafute mmoja wa Uhakika?
 
et unaongelea JF hii au Kuna nyingine mkuu..!!!!?

Huenda hujasumbuliwa vya kutosha huko DM. Hakikisha unaonyesha mvuto hata kwenye comments zako. Huenda ukaanza kuwaona waoaji wakipanga foleni DM.
 
Kila siku wanahadithiana hadithi za usaliti na magunia mawili ya mkaa, mshawasha wa kuoa utoke wapi?

Maisha ya JF yasikupe taswira na maisha halisi ya mtu husika.

Hakuna anaye ishi maisha yake halisi humu, ni wachache. But JF imetumika kama sample space.
 
Back
Top Bottom