HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Jamani wana jf.
Nawapenda tena nawapenda sana.
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti herufi kubwa wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu!
Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile wanaume wenzenu walikuwa wanahonga hadi nyumba, eh labda tuseme nyumba kitu kidogo. Wakina Harmonize wanahonga hadi Range!
Hakuna kitu inauma mwanaume anakulala halafu eti anakuachia ka elfu 50 na mabusubusu kedekede. Yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana, leo hii mwanaume kukupa hata hela ya vocha hamna, tena hata elfu 10 jamani.
Kiukweli wanaume tunawapenda ila upendo umepoa maana hamuongi tena. Nyie ndiyo wa kwanza kutusumbua kwa dm, sasa sisi mb twatoa wapi? Mitoko mnatupeleka Mlimani City kweli jamani, tena unakuta unaenda kwa mwanaume anakupandisha daladala sasa atapata mapenzi kweli?
Mara ooh maisha magumu, mara ohh sijui sina hela, sasa nawauliza mbona mmepunguza kuhonga ila na bado mnatusumbua?