Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 1,182
- 1,823
Mwanaume anakuwa mshamba kwenye uzuri wako kwa siku 90..Kwa hiyo unamaanisha thamani ya mwanamke ipo kwenye chupi?
Zaidi ya hapo ni wivu tu na mawenge na utashi wenu kuendelea kumpumbaza akili..