Kwanini wanaume hawapendi kuongozana na wake zao?

Kwanini wanaume hawapendi kuongozana na wake zao?

Wacha nitulie nijue sababu ya watu kuwanyanyapaa watu walioapa nao kiapo.
 
Utaishiwa kupigwa makofi ndugu Yangu, maana utakutana na vimbwanga njiani ukionekana japo unaangalia inakuwa kesi, hee Shida ya nini nisipepese hata macho!
 
Kweli inashangaza sana hata kama uliandikiwa barua kuwa njoo nyumbani haraka na mzazi wako ukajua labda anaumwa kufika unaambiwa mke huyu hapa! haina haja ya kumnyanyapaa coz aidha ulipiga goti msikitini au altareni au kimila tayari ni wako, kama umemridhia nasi tutamridhia mke ni matunzo hamna jingine.
 
Sio wote wengine wanapenda sana hasa tena wanaji proud kuongozana na wake zao
 
Sababu hii hapa. Huenda wewe ni good cook sio good wife ndo mana unatangulizwa
 

Attachments

  • 1427996389713.jpg
    1427996389713.jpg
    18.7 KB · Views: 274
Halina mjadala na lipo wazi kuwa wengi wetu huwa hatupendi sana kuongozana na wake zetu, haswa tunapokuwa tunatembea barabarani na kinachofanyika huwa tunawatanguliza tu utafikiri mpira wa miguu na tunakwepa mno kuongozana nao.

Nini kinapelekea hali hii?

1. Je mke anakuwa keshachuja au hana tena mvuto?
2. Au mke huwa anakuwa very nagging hivyo mnachoka?
3. Au huwa tunakwepesha lengo ili kuwakwepa mahawara zetu huko kitaani?

Karibuni wadau ila mimi shemeji yenu naongozana nae kila mahala.



Yote ulliyo yasema yana ukweli ila binafsi nadhani ni kuogopa kuchekwa mtaani na wachoraji kwani waweza ongozana na mkeo mtaani watu wanakucheka kwa kujuwa kuwa mkeo ni mchepuko wa wengine, wewe unatunza tu. Bongo hapa magonjwa ya maambukizi yako nje nje maana kutoka nje ya ndoa ni mchezo karibu wa kila mtu toka zamani, asikudanganye mtu.
 
Kutokujiamini na kushindwa ku live up to your words and promises.

Real men dont do that shit.
 
Back
Top Bottom