GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,611
- 127,991
Halina mjadala na lipo wazi kuwa wengi wetu huwa hatupendi sana kuongozana na wake zetu, haswa tunapokuwa tunatembea barabarani na kinachofanyika huwa tunawatanguliza tu utafikiri mpira wa miguu na tunakwepa mno kuongozana nao.
Nini kinapelekea hali hii?
1. Je mke anakuwa keshachuja au hana tena mvuto?
2. Au mke huwa anakuwa very nagging hivyo mnachoka?
3. Au huwa tunakwepesha lengo ili kuwakwepa mahawara zetu huko kitaani?
Karibuni wadau ila mimi shemeji yenu naongozana nae kila mahala.