Unaweza kununua wa kutafuna usipowekwa sukari na kuitwa chewing gum?
Hujaeleweka
Unaweza kununua wa kutafuna usipowekwa sukari na kuitwa chewing gum?
Mi nawaambia wanawake ukiona umeharibu mtaa unaoishi hama nenda mbali ambako hawakujui tabia utaolewa tu, kingine utadangaje wanaume hata watatu mtaa mmoja we zurura ukiachana na wa mbezi hamia tandale, tafuta wa Moro uone kama watakujua kuwa umeliwa sana, pia mashine sikuhizi zinabanwa hospital, kuna mazoezi ya kegel na squat, pia kuna kufinyia kwa ndani hapo mwanaume kukujua kuwa umetumika sana ni ngumu
Huyo ukifanya tu zikaingia mko mwili mmoja tayari! so lazima ana Mikosi!! mikosi hivi ya ukoo! hasa ukiona hao alio waacha hawajatajirika wamechookaa!! lazima umkimbie bila kuaga na hata kujiuliza tu kwa nini hao hawakukaa?? dem bomba hivi!!Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?