kwanini wanaume hatuuoni upuuzi huu!@^&&,,@

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Utakuta mwanamme ana mke na watoto,hao watoto mkeo ni mama yao wa kambo, na huyo mke anawanyanyasa kishenz hao watoto,lakni wanaume tunauchuna kama hatuoni vile.hadi hao watt wanapata madhara kimasha au kisaikology nawengine wanageuka chkoraa, reseach yangu ndogo inaonesha asilimia 90 ya wananume hatusolve ishu kama hizo,wanaume tuwe macho tutenganishe kati ya mapenzi na future za watoto.nampenda waifu wangu lakini OLE WAKE ANYANYASE WATOTO KWA KISINGIZIO ETI SIO WAKE, ATAKOMA!
 
Kama unamsimamo huo HONGERA sana .....wengine sijui inawakolea sana au ujinga sifahamu watoto wana nyanyaswa na yeye hasemi halafu na yeye anajiita mwanamme.
 
Mimi kama mama marufuku mtoto wangu kulelewa na mama wa kambo, mpaka afike umri wa kujitambua
 
ngoja wale waumini wa mapenzi ya dot.com waje waanze kurusha mawe hapa...suburi
 
Mimi kama mama marufuku mtoto wangu kulelewa na mama wa kambo, mpaka afike umri wa kujitambua
na mimi kama baba ni marufuku zaidi mwanangu kulelewa na baba wa kambo_hapo sasa.
 
Ni heri kuota ndoto
zisizokuja kuwa kweli kuliko
kutoota kabisa by
pushkin.alifariki baada ya
kuzipiga ulingoni na jamaa
ambaye alikua anagombea nae
mwanamke hivyo wakakubaliana
kupigana hadi kifo hatayebaki hai
anachukua mwanamke.hii
inafurahisha lakini jamaa
amenivutia coz he was ready to
die for the woman he truly loves
 
wengi sio limbwata,ulimbukeni, tu, familia nyingine utakuta watoto wengine wanaishi kama wapo masaki,wengine wanaishi kama wapo tandale,dume zima linaangalia tuu!
 
na mimi kama baba ni marufuku zaidi mwanangu kulelewa na baba wa kambo_hapo sasa.
wanaume wengi hawanyanyasi watt wao wa kambo bwana!kama wapo haizid asilimia 2
 
Mimi kama mama marufuku mtoto wangu kulelewa na mama wa kambo, mpaka afike umri wa kujitambua
umri gani,ananyanyaswa tu hata kama yupo secondary.mm yamenikuta hadi nafika seconary iliniathiri kisaikolojia hadi ikanisumbua kwenye masomo yangu.
 
Mara nyingi hii hutokea saana, But kama ilivo ngumu kujua tabia ya mwanao mtaani ndo ilivo ngumu pia kujua tabia ya Mkeo mdogo kwa wanao... Wanawake wengi wa sampuli hii ni wajanja mno maana hua na maneno ya kujenga kuhusu hao watoto kwa baba yao while at the same time akiwatesa asipokuwepo... Huku as time goes on anaanza kuzusha tabia mbovu kwa watoto hao ili tu baba yao awaone wao ndio wakosaji. Na tamaduni zetu hizi za kaka/baba zetu kurudi hali watoto wamelala ndo balaa kabisa maana haelewi nini kinaendelea kwa watoto humo ndani... sad.
 
Nashukuru Mungu sio mama wa kambo wote wako hivo ila kuna baadhi yao wako hivo na ni lazima kuyaongelea. Kwanza ningeomba utujulishe zaidi kuhusu hiyo research yako. Ilionesha wanaume hawajaribu kusolve hili tatizo, sawa ila ilionesha nini chanzo? inawezekana ikawa ni mwanaume huyo huyo, alianza kwa kuonesha upendo zaidi upande mmoja na wakati mama mbaya huyo alimkanya akapeleka balance upande mngine? sijui, nauliza tu...
Pia tuambie ni kina mama wa category gani zaidi (wasomi, professional, housewifes, rural/urban etc). wanakua hivo hata kama walikuja na watoto wao wenyewe katika ndoa? does this apply kwa mtoto wa kabla ya ndoa to the same extend as mtoto alie zaliwa wakati ndoa imesha fungwa?
Nani zaidi alihusika katika kumaliza matatizo hayo? familia ya mama wa mtoto, familia ya baba ya mtoto, serikali, shule, familia ya mama wa kambo etc...
It is an interesting research na kama haiku-cover hizo area zote tuambie pia...
 
Kama unamsimamo huo HONGERA sana .....wengine sijui inawakolea sana au ujinga sifahamu watoto wana nyanyaswa na yeye hasemi halafu na yeye anajiita mwanamme.

jamani kwa haraka haraka ukichunguza kwa kina utagundua hao mababa watoto hao sio their biological father. Haingii akilini mwanao wa kuzaa mzazi ukose uchungu nasema haiwezekani.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom