Oppo A17k
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 544
- 1,417
Habari ndugu wana jamvi. Binafsi napenda kuwapongeza kwa ujenzi wa taifa. Maana hata hizi bundle tunazonunua tunachangia uchumi kwa kiasi kikubwa
Pia nimpongeze mama kwa kuupiga mwingi maana bila juhudi zake na sisi tungekua sri lanka.
Baki tu the topic.
Kumekuwa na mijadala mingi inayozungumzia wanawake na tabia zao kwa ujumla na tumekua tukikumbushwa sana jinsi ya kuishi nao kwa akili hapa dunia na wamekua na matukio mengi ya kushangaza dunia kwa ujumla.
Napenda kuuliza kwanini wanaume wengi huwa hawana muda na kitu kinachoitwa birthday? Si ajabu ukakuta anapeleka gift kwa beloved someone ila siku yake ikifika hana mpango japo sio wote ila kwa waliowengi.
Binafsi sikumbuki tarehe 24november kila mwaka hua inaisha isha kiaje?
Tushee mawazo... Vipi kwako hua unasherehekea? If not why? And if yes with who?
Na vipi to your beloved huwa unampa gift au huwa unampotezea?