Hi wakuu.
Naleta uzi huu kutokana na kwamba naona wanaume wengi hawawathamini wanawake zao pindi wawapo katika mahusiano unaweza kukuta binti kakuta mwanaume hana kitu wala hafikirii kutoka alipo akamshauri vizuri lakini mwisho wa siku akaona mwanamke huyo hafai tena ilihali kamtoa sehemu moja kwenda ingine yawezekana kiuchumi, kikazi, ama ktk mazingira aishiyo.
Lakini pindi tu mwanaume anapoamua kumuacha huyo mwanamke huwa hafikirii kwamba wanawake hawafanani? Nawasihi wanaume hebu mkishikwa shikilieni basi ukipata mwanamke anayejitambua tulia naye lasivyo utaangukia kwa gumegume na huo msiba utalia mwenyewe.
Asanteni