Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,146
- 48,382
Bila ya kujali Elimu zao au umri wao, wanasiasa wa CCM wamejazana huko kwenye kugombea nafasi za udiwani na ubunge.
Hawahawa wakichaguliwa ama wasipochaguliwa na kupewa madaraka mengine ya kisiasa, utawasikia wakihimiza vijana kujiajiri.
Imekuwaje wao wanajazana kwenye siasa wakiwa na watoto zao huku wakiwaambia watoto wa maskini wajiajiri?