Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,761
- 6,793
Usinikumbushe machungu ase inaumaga sanaNimefumania ila sijafumaniwa je Mwachiluwi umefuniwaga?? Ila sijuzi umefumania pole
Pole imeeenda hiyoUsinikumbushe machungu ase inaumaga sana
Unanicheka sio 🤣Pole imeeenda hiyo
HapanaUnanicheka sio 🤣
Naoa kabisa mwaka uhuLeejay49 yaani humu mtu huyu hakuwepo ila baada ya majonzi ya huyu kijana kunywa ovyo mtaani akampata kule sasa amefungua account angalie kama Mwachiluwi anamsimamo gani ?? Je ni wakutukia naye au.
??
HongeraNaoa kabisa mwaka uhu
Ahahaha sio kwenye rami ?Cute Wife Mwachiluwi kaopoa dodo kwenye mchanga
Rami???Ahahaha sio kwenye rami ?
Pole sana best yangu 🤣Usinikumbushe machungu ase inaumaga sana
Nimekubamba leo😂Wanaofumaniwa ni kwamba wanakuwa hawana nguvu au ujasiri unayeyuka ? mbona hakuna anayemtwanga aliyemfumania Unampiga tu anaekufumania akileta shida ,kwani huyo mwanamke wake ni mtoto ? si alikubali akiwa na akili zake timamu shughulika na mwanamke wako sio unayemfumania
AhaaRami???
Nishapoa katika maisha yangu nishafumania mara mbili nishapokonyw dem na mtu mmoja mara mbili that why beef na mtu siwezPole sana best yangu 🤣