Wacha niwe msomaji tu leo
Point
Sababu ni nyingi mfano
1.Kujiaminisha kwamba kitu tayari nakimiliki kwanini nikitolee jasho
2.Mazoea
3.Mapenzi kupungua/kufa
4.Kufunga ndoa bila upendo
Ndoa ni mchakato kama michakato mingine, kila siku lazima uje na new trick, asa Mama kamzoesha mumewe akirudi lazima aoge, ale ndipo wabanjuane, siku nyingine banjuaneni kwanza, kuleni alafu muoge, siku nyingine muoge, mbanjuane alafu kuleni.
Wanandoa wasizoeane mke lazima amuone mumewe mpya kila siku hali kadharika mume pia kwa mkewe.
COMMENT TAYARI
Cell za miili yetu hufa kila siku na kuzaliwa nyingine mpya. Hata cell za ubongo ambao ndio hufanya maamuzi hufa kila siku na kuzaliwa nyingine. Kwa hiyo si ajabu ulichoona kizuri sana jana, leo ukaona kumbe hakifai na ukapenda kingine sababu hata ubongo wenyewe umebadilika.Mimi nadhani wengi wetu hufunga ndoa bila kuwa na uhakika kuwa huyu ndie nimpendae kupita wote.
na baadae kuanza kutizama pembeni,
Cha pili ni...
Kupenda vitu vya kidunia kwa mwenza wako na sio akili na mwili wake.
Mfano mali au umaharufu zikiisha unaanza kumuona mbaya.
Nakuunga mkono! Kweli inauma unapoanza kubembeleza k wakati mchepuko unakubembeleza uje uile k kiroho safi.Inawezekana sababu zako zikawa 1% ila sababu kubwa ni wanaume kushindwa kuwaelewa wanawake. Women are very complicated beings. Hasa akishika mimba mpaka kujifungua wanawake wengi huugua ugonjwa wa kichaa cha mimba. Hata baada ya kujifungua wengi ile hali huendelea na wanaume huona wanawake wanajifanya. Iwapo wanaume wangefahamu basi wangeishi na wake zao kulingana na hizo hali na baadaye hurudia ile hali ya kawaida.
Ila mapenzi ya wizi yanakuwaga matamu sijui kwann! Mtu anaweza kuwa anaiba mke wa mtu, na wakainyoi sana.... Ila siku mwenye mke akamkuta akaamua kumuachia aendelee nae kwa uhuru hilo penzi halitakuwa tamu tena kama mwanzo.... Wataanza kuonana kero ghafla....Mahaba yanapungua kadri siku zinavyosogea sababu ya kuchukuliana mazoea kisa mshakuwa wanandoa mshafanya hivi na vile hata yale mahaba mazito ya mwanzo yanapungua mwisho wa siku kutafuta michepuko mwishowe ndoa kufa,
hasa wanaume ndiyo chanzo wanapenda kuchukulia mazoea anaona yeye jukumu lake kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto, kujijenga kimaisha kamaliza majukumu.
Yale mahaba ya mwanzo kama outing hamna, masikhara hamna, kubebishana hamna eti oooh tunawatoto majukumu mengi.
Kuna kaka flan hv anatembea na mke wa mtu chanzo cha kumpata huyo dada alikuwa tu anapenda kumtania tania.
Kumbe mambo madogo tu ambayo hayana gharama yanaweza kusababisha mapenzi kupungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaaniIla mapenzi ya wizi yanakuwaga matamu sijui kwann! Mtu anaweza kuwa anaiba mke wa mtu, na wakainyoi sana.... Ila siku mwenye mke akamkuta akaamua kumuachia aendelee nae kwa uhuru hilo penzi halitakuwa tamu tena kama mwanzo.... Wataanza kuonana kero ghafla....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni the same question na uzi huu.Nina swali kwa mwanaume?
Kwann mwanaume wakishaoa wanashindwa kuhimili game kama mwanzo, nguvu zinawaisha au Hanna mzuka ndan mwaishia kimoja nje kwa mchepuko mnasimamia vidole
Shida nn hapo naomba majibu wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
mi katbu naandka hoja
Wakuu habar za w,keend
Leo naomba kuuliza wanandoa waliopo humu, hata wale ambao bado mabaharia mnakalibishwa sna maana nyie ndo wahanga wakubwa wa hili swala mwanzon mnakua na mapenzi makubwa kwa wenza wenu lakin baadae mambo yanaharibika,
Kwann wakati wa mwanzo wa mahusiano mnakua very romantic mpaka mnapelekea ndoa na baada ya ndoa wengine hata mwaka hujaisha wameshaanza mipango ya kando na wanabadilika kabisaaa mapenz hakuna yaan (WANABAKANA) kwenye ndoa zao, hao hao wanandoa kila mmoja akipata mchepuko nje, anapartcipatate vzr lakin akija kwa mumewe au mkewe wanaishi kama wazee,
Hakuna mahaba hata text tu, huwezi kuta wanandoa wanachat mambo ya mapenz sana sana ni inshu muhimu tu, hakuna hata nakupenda mpz, au miss u, love u nk, hakuna hizo zitu zilishaishaga
Ndo maana wanawake wanajitahid kutafuta makungwi na kujiunga kwenye magroup ya wasap wanafundishwa namna na kumshika mwanaume akupende, na mwanaume nao wako bize kushinda kwenye mitandao ya kijamii kutafuta company na marafik wa kike.
Yaana upendo umepoa kabisaa Yale malovee hakuna kabisa kwenye ndoa zetu, kabla hamjaoana mlikua mnapeana raha mnaridhishana lakin baada ya mwaka mnabaniana unyumba au unapewa kwa mashart huku mkishindwa kuridhishana shida nn hapo wakuu...
Wakuu najua wengi wapo humu na wahanga wa hili tatizo je shida ni nn, tunaomba mwanaume zetu mfunguke kero zenu na wanawake wenzangu mfunguke Kero zenu ili 2020 tujenge familia bora,
Ndoa bila usaliti, inawezekana. Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Practical guidelines to evaluate a potential wifeWakuu habar za w,keend

aixeh
Mimi nadhani wengi wetu hufunga ndoa bila kuwa na uhakika kuwa huyu ndie nimpendae kupita wote.
na baadae kuanza kutizama pembeni,
Cha pili ni...
Kupenda vitu vya kidunia kwa mwenza wako na sio akili na mwili wake.
Mfano mali au umaharufu zikiisha unaanza kumuona mbaya.