Wanaogopa kuonekana lovbt zao ama??
kabla ya hapo walikuwa wanasuguana hadi migongo wapendwa nakwambia wewe usieolewa kuwa makini
usipokemea haya yanakuja na kwako...leo hii ati baada ya miezi sita mke anaona mgongo wa mumewe anasema
hny mbona mgongo mchafu hivi.......hizi ni roho muwe nazo makini sana ni bora msijaribu kitu mnachojua amuwezi kuendelea nacho
kuna mmoja alidai ati nimeogopa mumewangu akiniona tumbo langu kubwa baada ya kuzaaa shameeee shameeee
Hii ni kwangu nakwambia na aijatokea kwako tu...mama didy nae alitaka leta hii habari...nikakaa kimya nikamwita
nikamwambia unajua hili tumbo liko hivi sababu yangu....hii mistari ni sababu yangu so nipe muda niangalie tunafanyaje kuanzia kesho nakuitaji asbh bafuni akuna wakunisugua na ujinga sitaki
tukatafuta jamaa wakatupa mafuta na limkanda limoja akishauriwa na mazoezi leo hii shwari kabisa
Nikiolewa ntakuja changia ntakuwa najua sababu
mwalimu hujaolewa!???
Mkuu Pdidy, asante kwa hii mads, sisi wengine tunaoishi huku Tandale kwa Mtogole, maliwatoni zetu zote ni za nje halafu ni size ya ppt size!, anaweza kuingia mtu mmoja mmoja tuu!.Wanaogopa kuonekana lovbt zao ama??
kabla ya hapo walikuwa wanasuguana hadi migongo wapendwa nakwambia wewe usieolewa kuwa makini
usipokemea haya yanakuja na kwako...leo hii ati baada ya miezi sita mke anaona mgongo wa mumewe anasema
hny mbona mgongo mchafu hivi.......hizi ni roho muwe nazo makini sana ni bora msijaribu kitu mnachojua amuwezi kuendelea nacho
kuna mmoja alidai ati nimeogopa mumewangu akiniona tumbo langu kubwa baada ya kuzaaa shameeee shameeee
Hii ni kwangu nakwambia na aijatokea kwako tu...mama didy nae alitaka leta hii habari...nikakaa kimya nikamwita
nikamwambia unajua hili tumbo liko hivi sababu yangu....hii mistari ni sababu yangu so nipe muda niangalie tunafanyaje kuanzia kesho nakuitaji asbh bafuni akuna wakunisugua na ujinga sitaki
tukatafuta jamaa wakatupa mafuta na limkanda limoja akishauriwa na mazoezi leo hii shwari kabisa
Kwan ajabu
Kwan ajabu
kuoga pamoja raha sanaa
lini unaolewa?Nikiolewa ntakuja changia ntakuwa najua sababu
Mkuu Pdidy, asante kwa hii mads, sisi wengine tunaoishi huku Tandale kwa Mtogole, maliwatoni zetu zote ni za nje halafu ni size ya ppt size!, anaweza kuingia mtu mmoja mmoja tuu!.
Thanks.
Pasco
Mmhhhhh Mi mgeni jamani bado Nina kamba mguuni