Kwanini wanandoa wengi hawafurahi tena tendo la ndoa!?⁣ ⁣

Hujui chochote kaa kimya!
Mtu mzima yeyote anaelewa! Mwanaume hata akomae vipi kuchepuka atachepuka!
hivi hujiulizi hata wanyama unaona beberu moja linamajike manne? hata kuku hamfugi nyumbani kwenu ukajifunza jogoo linavyotafuna matetea?
kama hujui soma kisa cha mfalme SULEMAN alikuwa na wake 700 na mahawara 300,
mtazame Ibrahim alivyokuwa!

NDIYO MAANA NILIKUULIZA UNA UMRI GANI?
Acha uzinzi mkuu.

We utakuwa mtoto wa KICHEPUKO TU SIO BURE.

Unatetea michepuko bila shaka umetokana na hiko.

Ucha upuuzi dogo.

NB:nakutafutia ban mtoto qa kichepuko
 
Hii ndio sababu hata uislam umemruhusu mwanaume kuoa mke zaid ya mmoja
kwa akili yako unazani kuchepuka wanapenda au inatokea tu;
kwenye uchumba mapenzi ni matamu kwasababu mnaonana Mara moja moja, pili kwenye uchumba k inakuwa bado taiti , sasa mkeo akizaa kichwa cha mtoto kikipita ile sehemu inachukua mda kurudia hali yake, halafu wakianza kutumia uzazi Wa mpango ndiyo unaenda kuharibu kabisa!
sasa hapo unategemea kama Mme atafanyeje?
NDIYO MAANA NIKAKUULIZA UNA UMRI GANI?
Mwanaume kila siku anazalisha mbegu millions halafu asubilie mwanamke mmoja azae,hadi apone huyo si atakuwa kalogwa.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo tukiwa kwenye uchumba tunafanyiana maigizo kiwango holywood
Unakuta mtu anajidai mpole na muungwana kumbe anafake tu ili apate ndoa
Sasa kimbembe kinanza mkiwa katika ndoa taratibu ananza kurudi katika uhalisia wake
Muhimu ni tuache kufake na tujitahidi kuvaa uhalisia
 
Hujui chochote kaa kimya!
Mtu mzima yeyote anaelewa! Mwanaume hata akomae vipi kuchepuka atachepuka!
hivi hujiulizi hata wanyama unaona beberu moja linamajike manne? hata kuku hamfugi nyumbani kwenu ukajifunza jogoo linavyotafuna matetea?
kama hujui soma kisa cha mfalme SULEMAN alikuwa na wake 700 na mahawara 300,
mtazame Ibrahim alivyokuwa!

NDIYO MAANA NILIKUULIZA UNA UMRI GANI?
Hata mm Nina mashaka na umri wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom